ndo najiuliza hawa watu vipi, mbona ni timu mbili tofauti, ya ligi ni yanga ya uefa ni simba😂😂😂
2026-10-20 21:12:14
8
John...chambo :
ikifka mia mnishtue
2026-10-20 21:12:52
7
under40 :
nilikuwa naitafuta hii post broo😁😁
2026-10-20 21:16:13
9
one tz z :
Ikiwa PSG itashinda Ligi yaMabingwatena msimu huu, itakuwa klabu yakwanza kufanya hivyo mara tatu
mfululizo kisheria katika karne ya21
Bila kuiba na kucheza soka,PSGni
timu kubwa.
VAR ilikuja na Madrid ilipotea kwenye kwenye uefa
2026-10-20 22:39:36
1
Humphrey_FXS :
issue LALIGA inashuka kiwango siku hiz wakizifunga wakina getafe Valencia na wengne wanajiona wakubwa Sana ndo shida ya ligi pendwa kwangu naipenda sana LALIGA ila inawadanganya Sana Barcelona wakawaida sana Barcelona sijui shida iko wap aiseee sijui uwekezaji wa laligaaa
2026-10-20 21:17:39
6
Pinat_jeans & kids clo :
leo nayoo imeshonwaa vizuri sanaa nawashukuru tuuu ferran Torres alikua anawaonea huruma 😂😂😂😂😂😂
2026-10-20 21:13:23
7
jooh💯 :
baca wanawaonea vibonde vya laliga t
2026-10-20 21:27:59
5
Eddy💰 :
Hawa psg ,wanabadilikaga champions league😬
2026-10-20 21:23:47
5
figostone Tz🇹🇿 :
this is not looking good man😂
2026-10-20 21:39:50
2
Trozzy B🤑e :
Bro ila kesho kwa como ndy kuna entertainment nzuri na majonzi😂😂😅😅
2026-10-20 22:01:01
2
Pame Josue :
kwa Siku ya Leo uko na furaha kwasababu sio man United
2026-10-20 21:49:31
2
S#@d0w#un+£r :
man city alivopigwa midomo mingi kikowap sasa
2026-10-20 21:26:08
2
Leonard Missuo :
Creec yuko hoi huko aliko
2026-10-20 21:31:49
3
To see more videos from user @sirtivareacts, please go to the Tikwm
homepage.