Mama ni mama ila sio mama wa dig nyie hamuwez elew 💔🥺
2026-10-21 03:21:19
122
Mama Light :
Mim siwez ongelesha mama angu hivyo alafu mbele ya boy
2026-10-20 22:15:51
56
Novia💋✨ :
Kuna watu tunapitia au tumepitia km ya gigy tunamuelewa sana tu..Poleni kila kitu kitakua sawa siku moja💔💔
2026-10-20 22:14:13
96
🧿Aggyshadia 🧿 :
Hiyo ni true traumatized ya maisha yake yote.🙏🙏
2026-10-21 01:22:13
94
Grace Karata :
Mwenye simu yake hana raha anahangaika balaa😂😂😂😂😂😂
2026-10-21 04:46:15
30
ℝ𝕖𝕜𝕙𝕒🩷 :
GIGY AMEKUA TRAUMATIZED MAISHA YAKE YOTE HAWEZ KUPONA. TRUST ME HII HALI NINAIJUA VYEMA🥺🥺🥺🥺🥺
2026-10-21 04:21:03
37
Cyner 🇹🇿 :
Awww this is so sad
2026-10-21 10:42:02
0
user9487361382662 jane :
kweni hakuna wazazi ambao wanatupa watoto na wao mtawatetea eti mzazi ni mzazi hata gigy amezaa kama kuzaa na hawezi kumpitisha mwanae kwenye mateso kwasababu yy kapitia hayo mateso
2026-10-21 04:06:43
11
Malach nana :
Kama hujawahi pitia chuki huwezi elewa MUNGU tuhurumie maumivu ni makali sana mwee
2026-10-20 22:33:49
46
Vnessa💎💎 :
Abdul mwenyew anaogopa😂😂😂😂😂
2026-10-20 22:17:40
15
rehema :
uchuro huu kuweni makini
2026-10-20 22:25:49
7
Mwajey :
najuwa haiwausu lkn ata mimi mama angu ana nikwaza kila siku😭
2026-10-21 06:52:47
1
sharifaamanimwagi :
Yani huyu mama ake gigy ni mama yangu kabisa kila siku namikopo ukimwambia anakususia na kukununia mama zetu bwana mtu kama hujui hii anayo pitia huyu
2026-10-20 23:27:21
7
♥️Annahbellah🇧🇮🇹🇿 :
Mwenye simu yakee hana rahaa😅😅
2026-10-20 23:43:12
5
Rachel b :
dah! mimi niliamua moja kulea watto peke yangu nikae na usingle mpk sasa wamekua. niliogopa sana kuolew kwa ajili ya watto wangu kutesema mtto anaweza fanyw vibaya na mume alie kuoa bila wewe kujua matokeo mtto ana hama nyumban bila sababu. mungu tusaidie. hakuna mwanamke sie penda kuolew au kuishi na mume! lkn ukiona imekua ngumu bora kua single tuna watto kwa heshima na utii. huu ni msiba😭😭
2026-10-21 06:03:25
1
janethomary76 :
mmmmmh jmn Hy n mm jmn
2026-10-20 21:28:37
6
zantyofficial :
Eeeeeeeeeeehhhhhh
2026-10-21 07:20:09
0
Gongaabdallah Illonga :
Huyo kaka vipi teenaa😂
2026-10-21 04:56:05
4
Happy George :
Juzi nimemnunulia baba kambale ale ashibe baba yangu afurahi.Baada y kushiba akasema kambale huyu hafai tena usirudie kuniletea .Bora uniletee bamia tuu.Roho ikaniumaa 😃
2026-10-21 09:43:58
1
Komando wa yesu :
Ni mama lakini hamjui tuu ?? tumepitia mengi nashukru anatuwakilisha gigy [Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Laughing]
2026-10-21 04:07:35
1
Cecyfuture🇪🇸🇫🇷🇬🇧🇹🇿 :
huwezi elewaa
2026-10-21 04:29:05
4
Kibibi Abdallah :
ayo mambo yametokea zamani
2026-10-21 03:45:57
1
florakr715 :
Namuwaza bwana harusi ataiwezaje hii familia kumbe yangu ni nzuri nyiee
2026-10-21 05:00:43
3
Quune Aura :
Watu wanajifanya wemaa kwnye coment kuwa hawawez kumjibuu mam hvy maisha hayafanan rafk kisichokuhus hakiwez kukuumiz bhnaa😫 embu angalia mam ake na zuchu ashawah jibu hvy mtt wakee😢
2026-10-21 06:10:39
1
To see more videos from user @chunamakeup, please go to the Tikwm
homepage.