@ekafaestv: mkifanya ujinga tunadhalilika na hapa ni nyumbani, kwanini mkifungwa number za apa nyuma ndo zinalaumiwa Sanaa na kuna mda kosa linakuaga ni la watu wanaocheza number za mbele #EkafaesTv #videoviral #footballtiktok #videotrending @EKAFAES TV 🇹🇿 @ndonyalo @lenardy tz
EKAFAES TV
Region: TZ
Wednesday 21 October 2026 03:48:22 GMT
Music
Download
Comments
KILLER ON POINT 🇹🇿 :
ila huyo kocha kila siku yeye anawaza kudhalilishwa
2026-10-21 09:27:49
10
45 :
hapo Kuna mambo haya ✌️Kwa namba 5 na 4
2026-10-21 03:53:43
4
Profgiraffe_040 ♑️ :
jmn mumsaidie kocha apate ubao ule wa makocha anatoa maelekezo kwa tabuuu
2026-10-21 07:04:55
5
baloziwawakinga :
Hiii timu iko wapi ?
2026-10-21 05:45:03
3
EDYSON :
kocha we Noma
2026-10-25 11:37:25
1
Andrew55 :
Twendeni mbele turudi nyuma au
twendeni tu😊
2026-10-22 08:48:10
1
MGAYA MOTORS NJOMBE :
kweli kabisaa😂😂😂
2026-10-21 03:53:01
1
Gudy Mwashiuya :
2pe matokeo bas kocha
2026-10-23 15:07:46
1
magubu sabi :
🥰
2026-10-21 06:33:02
2
Pro viewer :
hii njombe wilaya gani wakuu
2026-10-21 07:22:14
1
luogajr🌵 :
Hii team inaonyesha inapoteza sanaa
2026-10-22 10:23:09
1
japhet kb🎖️ :
utupe na matokeoo sasa[Tears of joy]
2026-10-22 11:15:35
1
OCHU :
tano na yine
2026-10-22 10:41:37
1
simoncarol819 :
jaribu kuongea kwa lugha nyingine wanaweza kikuelewa
2026-10-22 05:58:13
1
REGNO MOSSES JR :
ndio hawapo si metodi au?
2026-10-21 08:44:53
1
amoce :
apewe taifa stars
2026-10-21 19:34:37
1
⚽️BENA🌹 BOY 🛺🛺🛺 ✌️✌️✌️🫡 :
hio ikuwa wapi
2026-10-21 04:35:49
1
Nardthebest :
waeleze
2026-10-23 15:03:11
1
last born 🥰 :
kwaiyo hii walishinda jaman
2026-10-22 15:17:15
1
Taliban operator :
kwani hii timu haijawah kushinda hta cku1
2026-10-22 02:13:01
1
Abas Ajibu :
toen no tuj
2026-10-23 12:09:30
0
teja wa soka👑 :
ine anazingua
2026-10-23 20:59:15
1
Mwana _Makombe :
eddo ni golikipa cyo beki hiiiigh baaaallll
2026-10-25 06:21:19
1
medy :
Kane yupo kwa machina saiz
2026-10-24 09:51:52
1
Dock hardware :
hyu kocha aje natim yake kwenye mashindano ya tulia trust mby mwakan
2026-10-21 05:30:30
3
To see more videos from user @ekafaestv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.