@dianafemhealth: Mama, unatamani kuitwa mama ndani ya miezi hii miwili iliyobaki? ❤️ Kama umekuwa ukitamani kupata ujauzito, usiache kuchukua hatua. Anza kwa kuelewa changamoto unayopitia na kupata ushauri sahihi wa afya ya uzazi. Tuwasiliane Diana Femme Health, tuzungumze kuhusu hali yako na hatua za kuanza safari ya kutafuta ujauzito. #DianaFemhealth #AfyaYaUzazi #SafariYaUzazi #Ujauzito

DianaFemHealth
DianaFemHealth
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 21 October 2026 04:00:07 GMT
1347
30
3
2

Music

Download

Comments

conjetinasagala34
conjetina alphonce sagala :
ameeni nawapokea
2026-10-21 06:42:30
1
mattymussa510
Matty Mussa :
Mimi nahitaji mtoto
2026-10-21 11:47:57
1
To see more videos from user @dianafemhealth, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About