joseee why jamn nini iki unacho mfanyia uyu mama😂😂😂😂😂
2026-11-07 20:57:03
0
Jesca Ezekiel :
jose [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved] kafanya nn jomoni
2026-11-08 18:43:48
0
official domina :
nilichogundua huyu mama ni msukuma badala ya kusema dhambi zangu zote amesema dhambi zangu jose kwahiyo hajamanisha jina jose jamani kamanisha zote mmemuelewa vibaya tuu