@serengeti.park.gol: *" Badala ya mtalii kuja Serengeti kuangalia maajabu ya wanyama wahamao (nyumbu) sasa pia watalii watakao kuja hapa wataona wanyama hao huku wakicheza Gofu. Hii itaongeza muda kwa watalii kukaa katika Hifadhi yetu Serengeti kwa maana hiyo pia tumetafsiri maono ya Mhe. Rais ya kufikia watalii millioni nane ifikapo 2030 "* Dkt. Fortunata Msofe Mjumbe Mstaafu wa Bodi ya Wadhamini - TANAPA