@brightherbs.tz: #MamaMjamzito #PregnancyTips #PregnancyJourney #PregnancyCare #pregnacy

Bright Herbs 🌿
Bright Herbs 🌿
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 21 October 2026 05:55:18 GMT
54078
2015
48
86

Music

Download

Comments

mrs.boban7
Mrs boban💖💍🔐 :
kiungulia ndo changu😭😭 nisile chochote
2026-10-21 17:38:19
2
kalee.mutinda
mwitu wa mutuku :
na uchungu kwa jia ya uzazi shida ni ngani??
2026-10-22 17:14:42
1
loveeee8307
Lovenesdee🫂 :
mimi hata mchana nachoka
2026-10-23 13:54:47
1
user6137347996133
odile :
nimatata
2026-10-22 19:42:21
1
officialsiyah
SIYAH🤎 :
mtoto hua anachezaje
2026-10-22 11:06:55
1
user086596875
Sandra 🌹 :
Mimi nina mimba ya myezi 8 lakini nasumbuliwa sana na kukosa choo napata shida sana naomba msaada
2026-10-22 15:50:20
1
user303651662775
zahara :
vp kama hunapata maumiv chin ya kitov
2026-10-21 19:15:22
1
mommy.nahya
mommy nahya :
vip kuwashwa na tumbo na maziwa???
2026-10-21 06:27:07
1
byllanchimamy0
Byllan Chimamy :
doctor mm nashida na wiki 32 lakini chini ya tumbo pananiuma kukojoa malakwamala kidogo kidogo nipo sawa kweli
2026-10-21 21:38:30
1
user9155928119552
Joesthn :
asante sana
2026-10-21 15:55:03
1
lightnessmiss
lightness miss :
Mimi tayr miez 9 natareh niliy kadriw imepita lakin kwasasa nais maumivu yanakuja nakukata lakin sijapata Ute Wala kutokwa maj
2026-10-21 07:37:05
1
queenmary0610
queen Mary :
nipeni dawa ya kiungulia jmn kinanitesaa
2026-10-21 19:34:15
1
user1749166016572
[email protected] :
mi nimjamzito lakini Kuna muda uwa natokwa na damu puani Nini shida
2026-10-21 13:41:37
1
sharon.daud06
Sharon Daud :
na mchana
2026-10-21 22:09:08
1
user16915599754160
𝐉𝐔𝐑𝐈𝐀 𝐌𝐀𝐂𝐇𝐀𝐍𝐎 :
kumbe nilipo kua nawashwa na nyayo kumbe ilikua ni mimba dah nilijua nimerogwa😂ila kwa sasa naendelea vizur
2026-10-22 03:49:10
0
mamyl88
it's Mamish :
Mimi mguu wa kuchoto inauma na chini kunavuta Sana nini shida
2026-10-22 20:25:27
0
nande.el.martine24
nande El Martine+243 :
❤️❤️❤️
2026-10-22 20:01:46
0
mama.cairo0
phetty mchenje 🥰 :
😳😳😳
2026-10-21 15:59:31
0
gift.charles37
Gift💝 :
😳😳😳
2026-10-21 15:01:55
0
zahraamwazoa
zahraa mwazoa :
😳😳😳
2026-10-23 21:19:21
0
To see more videos from user @brightherbs.tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About