@bloggerpromoter: 1. UKIOTA NDOTO UPO SHULE UNALIA maana yake umefungwa kiroho, roho inakurudisha nyuma, maisha yako hayasongi mbele, unabaki pale pale. 2. UKIOTA UPO SHULE LAKINI UMEFELI MTIHANI maana yake kila unachokifanya kinafeli, biashara inafeli, ndoa inafeli, ni kifungo cha kutofanikiwa mwisho wa safari. 3. UKIOTA UPO SHULE LAKINI UNAGOMBANA NA WENZAKO maana yake kuna watu wa karibu wanakufanyia husda, wanakusema vibaya, wanakuzuia usifanikiwe, ni vita ya kiroho. 4. UKIOTA UPO SHULE YA MSINGI NA WAKATI UKISHA MALIZA MUDA MREFU UPO CHUO maana yake umefungwa kichawi, usipo kua makini unarudi nyuma kiuchumi, pesa inakataa, unarudi utotoni kiroho. *5. UKIOTA UPO SHULE MWALIMU ANAKUCHAPA maana yake unapitia adhabu ya kiroho, kuna dhambi au laana ya zamani inakufuata, unahitaji toba na dua ya nguvu. 6. UKIOTA UPO SHULE UMEFAULU maana yake umevunja vifungo, mungu amekupandisha daraja, baraka inakuja, utapata cheo na mafanikio makubwa. 7. UKIOTA UPO SHULE UMECHELEWA DARASANI maana yake fursa zako zinacheleweshwa, ndoa inachelewa, kazi inachelewa, baraka inakuja kwa kuchelewa. 8. UKIOTA UPO SHULE HUNA SARE maana yake umepoteza heshima, watu hawakuheshimu tena, siri yako inaweza kufichuka. 9. UKIOTA UPO SHULE YA USIKU GIZA TOTORO maana yake ni mkutano wa giza, umeitwa kwenye vikao vya wachawi, jilinde kwa kisomo na dua kali usiku. 10. UKIOTA UPO SHULE UNAFUKUZWA maana yake laana ya kufukuzwa kwenye mafanikio, kila fursa unayopata unafukuzwa ghafla. 11. UKIOTA UPO SHULE UNAANDIKA UBAONI maana yake mungu anakuandikia hatima mpya, jina lako linaandikwa upya kwenye kitabu cha baraka. 12. UKIOTA UPO SHULE MWALIMU ANAKUPONGEZA maana yake mungu anakuinua, utapata cheo kazini na heshima kubwa mbele za watu. 13. UKIOTA UPO SHULE DARASA LIKO TUPU maana yake unajihisi mpweke, hakuna wa kukusaidia, unahitaji mungu zaidi kuliko watu. 14. UKIOTA UPO SHULE YA ZAMANI NA RAFIKI WA ZAMANI maana yake mtu wa zamani atarudi na ujumbe, kuna kitu cha nyuma bado hakijaisha. 15. UKIOTA UPO SHULE HAUJUI JIBU LA MTIHANI maana yake umechanganyikiwa maishani, hujui uamuzi gani ufanye, unahitaji hekima ya mungu. 16. UKIOTA UPO SHULE UNALIA maana yake moyo wako umejaa mzigo, kuna huzuni ya ndani unayobeba, mungu anataka akufariji. 17. UKIOTA UPO SHULE INABOMOKA maana yake msingi wa maisha yako unabomolewa kichawi, ndoa inabomoka, kazi inabomoka. 18. UKIOTA UPO SHULE UNAPEWA CHETI maana yake ushindi mkubwa, umehitimu kiroho, sasa utapokea baraka zako zote. 19. UKIOTA UPO SHULE HUPATI KITI CHA KUKAA maana yake nafasi yako imechukuliwa na mtu mwingine, kuna mtu anakalia baraka zako. 20. UKIOTA UPO SHULE UMEKAA MBELE YA DARASA maana yake umeteuliwa kuwa kiongozi, mungu amekupa nafasi ya kuwa mbele, usiogope. Tafsiri za ndoto zako ushauri na maombi utabiri wa maisha yako ,Gharama ni TSh 10,000 *Wasiliana nami moja kwa moja:* 📞 *WhatsApp / Call: +255 782 181 930* 👩‍⚕️ Doctor Latiffa *NIFOLLOW UENDELEE KUJIFUNZA KILA SIKU 🙏* #TafsiriZaNdoto #NdotoZaShule #DoctorLatiffa #MaishaYaKiroho

Doctor Latiffa
Doctor Latiffa
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 21 October 2026 06:19:58 GMT
67954
1193
121
82

Music

Download

Comments

user9578112522172
Allan99@gmailcom :
Oo my God just help us we're nothing without you🙏
2026-10-21 18:04:49
0
domcyra67
DomCyra💫💦 :
Me naotag nip shule, il nachokifanya skioni an nakuw sielweki [Crying][Crying][Crying][Crying]
2026-10-21 17:51:26
0
user0475206815
Catherine :
mimi naota sana harafu sasaa huko shule walimu warewre wananifundisha
2026-10-22 04:36:50
1
mwanaisha.saleh3
Mwanaisha Saleh :
me ni kila cku jamn naota npo shule na nmevaa nguo za shule cjh shda nn
2026-10-21 15:13:13
6
neyzer548
Neyzer🍀OG :
mi niliota shule imeungua🔥🔥
2026-10-21 21:32:25
1
prisca.julias4
pretty pp :
jamani Mimi niliota naokota hela nying barabarani naweka kwenye nguo nilipo amka sikuwa na hata mia paka mara tatu shawahi ota hivyo
2026-10-21 08:16:15
4
lady.zed1
lady zed :
je ukiota umepata kazi ya kufagia shulen je inamaana?
2026-10-21 07:03:06
2
hance.dedu
hance dedu :
mim na ota kilasiku nipo shuleni na mchumba wangu wakati shule nilisha maliza inamana gan hiy ndoto
2026-10-21 15:23:41
2
agnesspaul157
agnesspaul157 :
mi hua naota nipo shule nakila nikifanya mtihan nafaulu matanyingi hua inajiludia vile vile sjui inamaanagan
2026-10-21 18:22:14
1
jenny.07.taiwap
Jenny Robert :
jmn kwangu imekuwa normal kbc kila sk naota nipo shuleni tena nachpwa
2026-10-21 21:45:07
1
carlosjunior11a
junior 7 :
DAda tifa Mimi ndoto ya shule ya msingi niliy maliza mda 2013 inaniyesa sana huwa inajirudi rudia mara kwa mara hata sielew dad,
2026-10-21 11:56:03
2
bbbbfff346
lady masuma 💓 :
niliota nipo shule nafanya necta gafra nikawa sioni vizuri mandishi je inamaan gan
2026-10-21 21:25:12
1
user81516078339035
Magdalena elias :
niliota nipo shule na rafikizang niliomaliza nao ila nikama vile nilikua napongezwa na nilikua na furaha
2026-10-21 12:47:26
2
user623201422056
ummu zayd heena. :
mi pia ndoto za shule naot sana tu kun muda naot niko natok shule naend nyumbn lkn niko mdogo km nilivokua kitambo sjui ina maan gan
2026-10-21 19:09:22
1
prettyfau68
prettyfau :
mimi mara nying naota kutengwa hasa rafiki yangu msicha nilikua nampenda lakini walikuwa wananitenga sio walimu sio wanafunzi kwanin some time nashitka moyo unauma sana jamn
2026-10-21 16:14:31
2
saidmussa909
Said Mussa :
Mimi Jana kuamkia Leo nimeota ndoto ya ngo,mbe alie konda Ina maana Gani hiii naombeni mnisaidie
2026-10-21 07:16:17
3
naisaksaddy3
Naisak Saddy :
Je ukiona mara kwa mara unafanya mitihani na nmemaliza shule mdaaaa sana
2026-10-21 20:47:22
0
dijah_adv
Dija :
mimj niliota nipo shule napanda ngazi ila ngazi ya mwisho nillopanda kwa shida mpaka nikabinuka ila nilipanda mpaka juu nilipotaka....
2026-10-21 13:17:58
1
toneysterwarty
Tz landscaper :
NILIOTA RAFIKI YANGU ANANIPA MAJIBU YALIYO NYOOKA MPKA NIKALIA KWA FURAHA ASEE NA KUMSHUKURU...HII IMEKAAJE
2026-10-21 16:34:35
1
jesca.alfredy
jesca Alfredy :
mm ndoto ya shule kwa wikinaota mala 5 au 6 kbsa na yakuokota hela nying lakin za shilingi tupu
2026-10-21 10:50:45
2
theotrophim
theo trophim assey :
huwa naota nipo shule napewa kazi za kufanya sifanikiwi kuzifanya mara nimepewa.kazi ya kupika unawasha moto hauwaki mafia hayakai mara nachelewa kufika shule
2026-10-21 15:01:59
2
user61659615953823
tiva🌹 :
Mimi niliota nipo chuo na sijasoma Hadi chuo niliishia kidato Cha tatu inamaana Gani Hy??
2026-10-21 08:52:15
2
mrs.jigger2
Mrs jigger brand💖💍❤️ :
mm niliota nipo shulee ya sekondar na marafik zangu tunafurah na kuplcheza na nimemlz 2023 nayo una maan gan doctor tiffa
2026-10-21 08:13:44
1
maalimkipe
Maalim Kipe :
Mm nimeota np shule mwalimu ametoa zoezi Na weng tumefeli tunaazibiwa lakn mm mud wangu haujafk nkaamka
2026-10-21 17:12:18
1
mwanaisha.saleh3
Mwanaisha Saleh :
ni kweli unachosema nlikua na malengo sana kipind npo shule lakn matokeo yaliyotoka ckuamni nlitaka adi kuzimia cisahau mm maisha ya shule nlikua kila ikikaribia mtihani naumwa sana lakin ndoivo nkafeli pakubwa saivi natamni2 nwe na ela angalau nwasaidie bab na mam yangu lakin naamin mungu yupo na mm ipo cku ntainuka2
2026-10-21 16:12:50
1
To see more videos from user @bloggerpromoter, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About