Naona watu mnampa hongera jamaa kwa alichokifanya ila najua wengi wetu hatusomi maandiko , imeandikwa Utawaacha wazazi wako utaandamana na mweza wako, ukifika muda kijana ukataka kuoa au kuolewa jua kwamba unatakiwa kuwaacha wazazi , elewa kuwaacha, wapende na waweke vizuri ila inatakiwa uwache alaf uwe na mkeo pamoja na familia yako coz huyo mkeo pia n mama wa wanao kwahiyo hata mwanao ukimuuliza hivyo lzm am chaguo lake liwe mama yake ambae n mkeo
2026-10-22 08:46:21
1
x knows :
bado kibao....
2026-10-21 10:49:26
22
Jandal Architect :
mbona kachelewa kumtupa nje,
2026-10-21 11:01:37
5
Wizzyj32 32 :
anasemaj huyo
2026-10-21 10:52:45
6
black tiger :
safi san kaka
2026-10-22 06:05:51
3
Bwana mdogo :
Kikao Kijacho Utaanza Kutoa Speech We Braza
2026-10-21 16:35:27
4
mtu mwema org :
nimesikia kama ametukana 😇@😂
2026-10-21 11:42:42
2
Iska :
katuwakilishs😂😂😂
2026-10-21 12:07:32
2
mdogo TIDE 💪 :
hapo kuna mambo haya ✌️
2026-10-21 09:56:42
2
Nasrii🇹🇿 :
Kwisha Asanteh Bro
2026-10-21 16:19:41
1
Mwinos kambale :
safi kabisa, Ayo ni maamuzi ya kiume.❤️
2026-10-21 13:45:22
1
medi27 :
Apo kuna mambo aya ✌️
2026-10-22 16:19:42
1
Issa Ally :
2026-10-21 08:00:13
0
Bazenga🦁 :
hizooooo
2026-11-06 08:57:08
0
mungu mkubwa :
saf sana brother 💪
2026-11-19 06:44:05
0
Madiba26 :
2026-11-14 19:40:03
0
kabwe madebe :
2026-11-19 21:05:00
0
juma mbarouk :
perfect br
2026-11-17 23:13:59
0
isaah :
msaidie kumbebea nguo
2026-11-16 11:06:58
0
killer :
100 braza
2026-10-21 08:22:08
0
To see more videos from user @papamkinga, please go to the Tikwm
homepage.