@jonstarofficial: Enzi za ITV2 tulikula ngoma kali sana 🔥 Double M (TAM TAM) kulikuwa na Marehemu Amina Ngaluma Mgumba part 1 ilikimbiza hatari. Unakumbuka nini enzi hizo #nostalgia #daima #SisiTumeanza

Delvis Kasaloo
Delvis Kasaloo
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 21 October 2026 06:29:10 GMT
29794
1473
103
97

Music

Download

Comments

happymasaki2
happymasaki2 :
Izi nyimbo zitatufanya tulie 👐👐
2026-10-21 14:17:29
16
judyeugene22
judyeugene637 :
Hz nyimbo 🥰
2026-10-21 19:31:43
0
ajelakassime
Anjelakassime :
This year nirudishwe nifanye good decision anyway I’m thankful
2026-10-21 15:43:38
2
nyambongo3
Casablanca :
Amina kimotelll
2026-10-21 19:14:25
0
fettiembwana
It's fettie :
old is gold
2026-10-21 19:24:19
0
kingk.kaguna0
omarykaguna :
enI hizo Star Tv, TVT, ITV, Channel 10 daah mix RFA
2026-10-21 15:25:17
2
user4420961331707
James :
Emmy ngaluma alikuwa na sauti tamu sana huyu dada daah chini wanapenda watu jamani
2026-10-21 13:24:33
7
omarynindi881
mifugo yestadei :
amina mnoga'' alitisha sana iyo song allah amueke maala panaposaili
2026-10-21 12:20:13
5
ibahimhassani123
Ibahim hassani123 :
rest in peace aminangaluma
2026-10-21 14:45:23
1
spices468
Spices&More🌶️ :
Nipate mume niolewe jamani umri ushasogeaa🤣🤣🤣🤣
2026-10-21 14:07:53
5
j.masala
J Masala :
Nakusihi wala usitie kufuru mwenzangu weee elewa kupata na kukosa ni mipango yake maulana kauumba matajili na mafukala kama mimi viwete na vipofu matasa na wagumba yote ni kazi yake maulana {badi bakule voice}
2026-10-21 14:28:13
7
suleimansiffa
Suleiman Siffa :
Rest in peace ANINA NGARUMA
2026-10-21 14:17:13
5
prezy.dar
prezzy Dar@21 :
aiseee inaumaa kama auna mtoto
2026-10-21 13:36:40
4
anastazia446
Anastazia :
ila twanga pepeta jaman 🥰🥰🥰
2026-10-21 15:11:11
1
savio2557
Savio | Satoshi :
miaka hiyo tulikuwa tunashinda kucheza kwenye sherehe za watu tupewe Ubwabwa yani....
2026-10-21 17:12:17
1
zainabu569
zainabu569 :
jaman kumbe alikufa uyu dada jaman😭
2026-10-21 17:04:49
1
rama.dsm.tz
Rama Dsm Tz :
dah Leo ndo nimejua kama uyu dada kafa izi nyimbo nilikua nazisikiliza kwenye Bada la video kabla ya movii kijijini mwaka 1999
2026-10-21 20:29:05
3
mzeeutata
utata sana :
kwenye hii nyimbo verse ya badi bakule jogoo la mjini ni 🔥 anakwambia 🎶Amepata barua kutoka sauz afrika, kusoma hataki anaogopa kimeta🎵😃😃😃
2026-10-21 09:14:07
5
_nampiq.mulenga
user85777544162162 :
RIP My dada Amina Ngaluma tunakukumbuka daima
2026-10-21 16:13:12
1
tasac.latra
Tasac Latra :
Hii Nyimbo Ukienda Kuangalia YouTube Kuna Comments Ya Mdada Mmoja Ka-Comments Kwa Uchungu Sana
2026-10-21 12:33:33
4
user7482513349731
user7482513349731 :
ndio hali ninayopitia, naumia sana😭
2026-10-21 16:04:43
2
user945520006275
nyambwera nyangario :
ivi badi bakule yupo
2026-10-21 13:43:57
2
mussapukey
user7924966762626 :
amina ngaluma mungu ampekauli thabiti
2026-10-21 16:04:42
4
amniky
MissNiky🦋 :
Mmmh na bado sijaolew😂😂
2026-10-21 15:46:56
1
nabii.camara
Nabii Camara :
Itv iliondoka na mzee Mengi
2026-10-21 15:12:51
3
To see more videos from user @jonstarofficial, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About