Sina wala napo kuwa na shida sina wakunisaidia ni mimi namatatizo yangu eeeh baba nione mwanao nahisi kuchoka sana
2026-10-22 11:37:41
0
Rismahatun :
Labda mama yang tu Ndy mtu wapekee
2026-10-21 09:54:12
2
𝓪𝓲𝓶 𝓵𝓲𝓼𝓪⚽ :
Mama na baba angu
2026-10-21 12:25:08
2
Jojo neez :
Naongeaga na ex wang💔😅😅
2026-10-21 10:02:34
1
M❤️P :
baba yang guys daaah
😭😭
2026-10-28 17:58:42
1
💝zabibu 💞 :
yup Allah anitunzie huy kijn walah
2026-10-21 12:11:01
1
Fine girl🌸🤍 :
Ninao mashallha alhamdullilah dada yangu mmoja uyo ananipenda mpaka najua mashallah na mdogowangu ananipenda mpaka najiona mwenye bahat kua na ndugu haka hawa 🥹❤️
2026-10-23 23:45:43
0
Nayham :
hakika yupo mama na mpenzi wangu wakwanza
2026-10-21 10:34:57
0
Rikesh :
alhamdlillah Niko na mama yangu mungu amlinde
2026-10-25 18:41:41
0
mamu🥰 :
Ninae mama kila napopata huzuni bc yeye ndio falaja yang ninapomueleza kinachonisibu bc amani yamoyo naipata
2026-10-21 19:16:32
0
kulfi :
hayupo lbd uwe ue🥹🥹😭
2026-10-21 08:02:08
0
second born ♥️💯 :
sijui kama ninao
2026-10-22 15:33:03
0
nee❤️🩹🥺🥵 :
My sister 🥹🥰❤️
2026-10-21 10:46:58
0
Minah Mubbah00 :
Sina🥹🥹
2026-10-21 09:02:04
0
🌸CUTE HABBIE 🌸 :
no
2026-10-21 11:01:33
0
Baby Girl💞 :
ndio Kwa sasa yupo Allihamdullih 🙏
2026-10-21 11:59:29
0
Fetylizer :
aseeh ni mwendo wa huzuni adi zinaamua kuisha wenyewe
2026-10-21 11:02:36
0
libnakassim :
Kuna muhalifu mmoja ivi ndio humpigia
2026-10-21 11:09:15
0
Ms dee🦋❤️🧕 :
@🐾𝓶𝓲𝓼𝓼🦚𝓼𝓸𝓶𝓮𝓸𝓷𝓮💦 nakupenda sana 😭😭wallah
2026-10-29 21:18:40
0
Babygirl🌸🎀 :
@😊 ni huyu kichogo wangu😩🫂
2026-10-23 08:29:19
1
iPhone magic🍏 :
@Sumae Osborn 😂😂
2026-10-21 14:10:03
0
To see more videos from user @twaheermaliyatabu, please go to the Tikwm
homepage.