@pakua777: Kijana aeleza alivyomuua bibi yake. #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #trending #swahilitiktok #fyp

Pakua77
Pakua77
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 21 October 2026 06:40:50 GMT
74458
2412
160
208

Music

Download

Comments

official.sasha60
Sasha luxe👑🧚‍♀️ :
Huyo Bibi kafa na preshaaa tu bhn Ila kijana anajutiaaa na hakudhamilia hkjuaaa km itakuwaaa ivooo
2026-10-21 08:14:26
85
yusira.mohamed
💥💥YUSIRA 💥MOHAMED 💯 :
huyu kijana naomba mumsamehe mm namuelewa sema tu huku tiktok hakuna voice recorder [Crying][Crying][Crying]
2026-10-21 09:58:29
0
simonmeckisadek20
🔓🔓mamagorg :
kwer naamini huu ni mwisho wa dunia ndugu zang
2026-10-21 08:09:48
24
giftmohamed2003.com
Mrs Patrick :
m hi kauli ya mambo hay✌️unanikela
2026-10-21 08:27:40
9
angel.prince00
malaika :
Jaman watu wanaumwa epukeni sharii
2026-10-21 08:42:55
6
shebby041
Shebby :
uyo anajibu kwa plesha.hakutegemea naomba serikari na family mumsamee jamani
2026-10-21 09:38:46
3
azzalicious
azzabebz :
siku hizi bora kila mtu alee mwanawe bora unlike na mwanao ulomzaa kuliko mwana wa mtu binaadamu hawana huruma wala hisani
2026-10-21 09:37:18
1
deer.nana
leyna :
ajakusudia[Teary eyed]
2026-10-21 08:43:55
0
abushehe08
abushehe :
uzuri ni bibiyake
2026-10-21 09:35:55
1
namtwego1
NAMTWEGO 🔥🔥 :
hapo Kuna mambo haya ✌️
2026-10-21 07:55:50
6
faithmarijan
faith marijan :
wa mama na wababa leeni watoto wenu wenyewe msiwaachie hawa wazee walivyo walea nyinyi akiwa na nguvu saiv wamechoka watoto wetu ni shida jmn😳😳😳
2026-10-21 09:45:54
1
dotto.ndevu
dotto ndevu :
jamani duniya imekwisha hii pole sana mtoto yani ata atuelewi
2026-10-21 09:45:47
1
irissylawrance
Iris :
Daah!! Mungu atusaidie wapendwa kudhibiti hasira zetu, shetani yupo kazini
2026-10-21 09:45:22
1
mwamlocha.tariq
Mwamlocha Tariq :
Huyoo sio muuaji kabisa dogo pia mnapomuoji anajibu tu lkn ajamua kweli
2026-10-21 09:44:04
1
habibafeithal
habby :
ajamuua bhana bibi kafa na presha acheni kumtisha mtoto wq watu
2026-10-21 08:27:15
20
user7042585776360
Aggy 💞 :
kijana mdogo ,maskin huwenda hakudhamiria ila imetokea tu,
2026-10-21 08:16:09
11
ashreymzuri
🦋Ashrey🦋🩷 :
Asamehewee t
2026-10-21 08:52:00
1
mekuswai
SWAI MEKU :
c bibi yake
2026-10-21 09:32:31
1
reyra211
Reyra😋 :
Jamni dunia inaenda wapi
2026-10-21 07:54:08
7
colaniah
KEAUDTHEUR🇧🇶🇫🇮❤️ :
mmmm
2026-10-21 09:04:15
1
user6769604611062
chozi :
mkoa gani jmn
2026-10-21 08:58:08
2
mashaally135
Masha Ally :
mdg sana hajakusudia maswali mengi ya nini
2026-10-21 09:31:56
1
chunda006
CHUNDA VAASMART :
acheni kumpangia chakusema
2026-10-21 09:29:56
1
thuma288
🦋❤️Thushky Dyder❤️🦋 :
Bibi zake zilikuwa zishafika jmn
2026-10-21 09:27:52
1
shizooo070
shizzo 🍀🌴 :
hapo kun mambo hayo ✌️
2026-10-21 09:23:06
3
To see more videos from user @pakua777, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About