@godwinmawanjatz: Murat BEY On Twisted Affairs Ndani ya Azam Two Kila JUMATATU HADI IJUMAA

Kaka G
Kaka G
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 21 October 2026 06:56:51 GMT
343431
15298
1212
294

Music

Download

Comments

luciamagafu
luciamagafu :
Kusema Kweli hiii tamthilia imekuja wakati mmbaya sana namchukia murati na mume wangu piah🥺🥺🥺
2026-10-21 16:34:56
253
saraphina0569
Saraphina :
atimae nmekuona kijana
2026-10-21 14:19:17
65
its.zulham
it's~zulham :
Nina imani hauna michambo kama ya murat[Tears of joy]
2026-10-22 02:18:25
5
mamuutz
🦋Ma mzurii🦋🍒❤️🎈 :
kiufupi tutakuja tukupige kaka murat uvumilivu unatushinda sie😂😂😂
2026-10-21 16:09:46
108
noreynah
💝AMORE💝 :
Ila murat 😂unanichosha Mimi walai😂🙌na unavyojua kufoka kam yeye
2026-10-21 13:02:39
18
bilo_shops
Tasha💫 :
sauti sukari, tabia shubiri
2026-10-22 12:13:16
0
user7426923419658
userzuuh :
utakua kama Murat had nyumban wew😂😂😂
2026-10-21 09:06:42
37
priscilasaimon265
Priscila 🍓 :
Woow nilikuwa natamani kumjua sana mwenye hii sauti 👌
2026-10-21 18:31:14
11
mrs.hajji3
Mrs Hajji♥️👩‍❤️‍👨 :
umeweza kaka😁ni murat kbisa🫡
2026-10-22 14:20:25
1
leetheboss7
BOSS LEE :
Na unaipatiaaa sanaa😁
2026-10-22 15:53:49
1
salha.rashid6
Salha Rashid :
Kaka G. upewe maua yako
2026-10-22 13:10:19
1
user7850740472481
Jd💕 :
Bora usije ukawa kam murat kwel kwa tabia hyo😂😂
2026-10-21 13:40:55
6
sabby.garl2
Sabby garl :
daah kumbe ndo wewe eeh😂😂😂 unayetutesea nesliham wetu
2026-10-22 16:40:55
1
me.as.charmz.037
me.as.charmz.037 :
Bwana kaka g unawezaaa 😂😂😂
2026-10-21 20:34:07
1
judithkomba39
Ivvana :
mtu na kazi yake naona unawajibika safi una jua
2026-10-23 17:23:46
1
damary.michael
Damary Michael :
kumbe sauti ya Murat Iko hapa
2026-10-22 16:01:21
1
fatma.ameir44
Jumfat :
umefana nae
2026-10-22 18:29:31
1
queenmmole5
Mama mary🤍 :
kumbe wewe ndo umeharibu maisha ya neslihan wetu
2026-10-22 04:05:26
1
locationtrep
road trip :
duh kazi ngum Sana gus lipien decoder hawa jamaa wapate mshahara mzuri
2026-10-22 10:00:50
1
scholastica795
scholastika🥰🥰 :
kumbe nn umejua kaka umetisha mulati
2026-10-22 10:46:33
0
fancy_yyyyyyyyyyyyyy
fancy_yyyyyyyyyyyyyy :
Ur doing besttttt
2026-10-22 17:35:14
0
user9581267193259
happy george :
Atimae nime kuona kijan murat
2026-10-22 12:39:21
0
just_agirl142
Ms somebody 🌚🦋✨ :
Kaka unatafsiri vzur sana yan🥰🔥
2026-10-24 03:18:13
0
user9459176828363
Nasra :
kazakaka. MUNGU. atakufikishambali
2026-10-22 11:02:51
0
faudhiakassim786
Faudhia Kassim :
kazini chiz nyumbn baba😂
2026-10-22 08:57:57
0
To see more videos from user @godwinmawanjatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About