@eddytzonline: Mjumbe kainuka kupaza sauti kwaajili ya kuwatetea wanaume na kutoa sababu kubwa zinazopelekea watu kikimbia ndoa zao na kuvunjika kwa ndoa. Habari kamili youtube @eddytz_online #eddytzonline #eddytzupdates #tallmanneverdie💫

Eddytz Online
Eddytz Online
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 21 October 2026 07:20:21 GMT
8388
299
22
36

Music

Download

Comments

zainabumahenge712
mama timbula :
huo ni uwongo
2026-10-21 10:12:38
6
omarynundu
Omary nundu :
Good point
2026-10-21 09:10:25
3
user8573986793815
user8573986793815 :
kwani wanaume hawpendi dharau ila wao wanawadharau wake zao san
2026-10-21 12:03:55
1
pricemgwabi
Price Mgwabi :
sio kweli baadhi
2026-10-21 09:29:52
2
user8530168663813
bebechore🌿🥰 :
sawa baba
2026-10-21 09:16:55
2
user776560131loshim
us loshim :
Kila upande unavutia kwakwe tuseme tuu hatujui kuchukuliana ata mwanamke anaanza dharau lazima kuna sababu
2026-10-21 10:59:52
2
cojackmotorsonline
COJACK MOTORs ONLINE :
kwa heshima
2026-10-21 08:07:25
2
gapto.mtitu
Gapto Mtitu :
umetisha kaka
2026-10-21 08:40:55
1
nibretstudio
nibretstudio :
mwenyekiti wetu
2026-10-21 12:27:32
0
dany.salilla
Dany salilla :
point
2026-10-21 11:08:49
0
peterwatson2525
I_AM_PETER TECH :
Ila umenena mjomba
2026-10-21 10:15:04
0
siasa.hd
HD. SMART BOY :
umetisha kaka
2026-10-21 09:58:55
0
tito.gadau
Tito Gadau :
Makofii💪🏻
2026-10-21 10:59:00
0
betty.jimmy
Betty Jimmy :
Sasa mshatengana mnapata wapi mda wa kukoseana heshima?!
2026-10-21 10:58:01
0
malka.jr1
Malka Jr :
Sio kweli Kuna wanaume washenzi TU toka walivyolelewa
2026-10-21 13:04:34
0
tabitha_255_
Quenevermiquisson🥰🥰 :
Asilimia kubwa mwanaume ndo chanzi Cha matatizo kwenye ndoa kiuhalisia ukiona mwanamke kabadilika chanzi ni mwanaume,huwezi pata heshima ikiwa wewe heshima huna japo mwanaume akiambiwa ukweli anasema unashindana, kumbukeni usiyopenda kutendewa msitutendee pia wake zenu na mkumbuke kusimama kwenye majukumu yenu
2026-10-21 12:33:38
0
cecywangu
Cecy wangu :
kaka usiseme nakuombaa ukae kimya wanaume wenyewe ndio fake life Sanaa
2026-10-21 12:48:18
0
yevela8
yevela :
[Red heart][Red heart][Red heart][Red heart]
2026-10-21 09:08:45
1
officially.rorotz
It is🥀🌹🌹lolo bae 🥀 :
😂😂😂
2026-10-21 07:58:53
1
sizah.outfits6
Sizah outfits ❤️ :
@Mr Boda Boda brands
2026-10-21 10:40:30
0
oumary_kindambajr
RoHaan💥 :
@wilfrednkwama
2026-10-21 13:06:01
0
To see more videos from user @eddytzonline, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About