@zahmid_tz: Jina la mtume Muhammad lina barka ndani yake, ukipata mtoto muite Muhammad kwa kukusudia kumpenda mtume s.a.w #islamicvideo#islam#islamic#mawaidha#viral ✨ Zahmid tv, Ulimwengu wa kiislamu 📖 Elimu, mawaidha, darsa na mafunzo ya dini Yako. ✨ Fuatilia ukurasa huu kila siku, upate maarifa yatakayoongeza Imani yako. ⭐Follow ⭐ @ulimwengu_wa_kiislamu

Ulimwengu_wa_kiislamu
Ulimwengu_wa_kiislamu
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 21 October 2026 08:03:27 GMT
179359
22090
149
994

Music

Download

Comments

prettysweat435
bi mzuri🥰🇹🇿🇧🇮 :
wakina mohamed wetu sasa uwiii ni mtihan sana wallah
2026-10-22 12:38:07
53
binthalal009
Galbysuu :
alhamdulliah mwangu aitwa Ahmad🥰
2026-10-21 13:19:37
64
nurumosesmwamunga
Nuru Moses Mwamunga :
vipi majina ya Mwenyezi Mungu?
2026-10-21 14:19:06
3
sumsu009
sumaiya :
mbn sis tuliambiwa uwe unaweka Abdul Mohammad na sio Mohammad
2026-10-21 14:18:04
14
mihirmaa.mira01
Mira_01 :
Sio Mohammed wa siku hizi wallahi mtihani🥹🥹🥹
2026-10-23 02:46:13
0
ishaibrah218
Isha Ibrah :
Alhmdllh my Muhammad is 3 months now 🥺
2026-10-21 14:32:56
13
us.year96
bajunis'baker😜🥳 :
mimi niliomba nipate mtoto wa kiume wa kwanza na nikasema nikipata wa kiume bc nitamuita mohd kwa kutabaruk jina la mtume na mungu ni shahidi yanguu😭😭na nimefanikiwa kutabaruk alhmdullah😭🤲hii darsa imenilizaa tumswalieni mtume s.a.w
2026-10-21 22:02:45
3
sakumabdallahbro
THE IRGC NAVY :
insha
2026-10-21 10:10:07
2
muhammadomary669
Muhammad Omary222 :
Niko Apa MUHAMMAD🙌
2026-10-21 15:19:20
9
chimamiiy1
chimamiiy🦋🌺🐹 :
mwanangu nimemwit Swadikul-amiin alhamdullilah niliomba mungu anipe mtot wa kuum wakwanz ili nimwete Swadikul-amiin kwasababu ya ukweli na uwaminifu wake ulinivutia san alhamdullilah nina kijan ambay namwangalia mfano wa mtume wangu alhamdullilah 🥰
2026-10-21 18:03:24
4
fatmasaidi610
Fatma :
yaani mie mtoto wangu wa mwanzo nilitaka kumwita Muhammad kwa nia ya jina la mtume hasaa na mapenz nilokuwa nayo kwa mtume shehe akanambia haifaiiii jamanii najutaaaaa ila nitapojaliwa tena kuzaaa mtoto wa kiume jina ni Muhammad sina dictation
2026-10-21 18:00:17
1
alihusseinali521
alihusseinali19 :
Nilimpa mwanangu jona nurdin kwa sababu niliposilimu she Nurdin kishiki ni miongoni mwa mashekhe nilikipenda sana maeaidha yake
2026-10-21 19:16:22
2
kunanganga
kunanganga :
mwanangu anaitua Fátima b.t.
2026-10-21 18:29:14
2
user233763611
Aisha :
SAW
2026-10-21 14:01:03
7
sam_melodyy
sam_melodyy :
Allah Akbar
2026-10-21 16:33:32
2
bint_khalifa8
bint_khalifa8 :
اللهم صل وسلم عليه وعلى اله
2026-10-29 17:10:38
1
abdirahmangk
GK 2 :
scw scw scw scw scw scw
2026-10-21 14:28:00
1
ahmedi3824
Ahmedi :
Ahmad muhmad
2026-10-21 14:09:50
1
amnein8
✨amnein✨ :
amini
2026-10-21 13:58:44
1
ahmedkeynan2
ahmedkeynan2 :
Mashaalah jina ya mohamed
2026-10-21 17:37:30
1
jumannerajab208
Jumanne Rajab :
inshaallah
2026-10-21 14:18:08
1
zubeiryissa3
DR maulana :
Masha allah
2026-10-21 16:04:30
1
pretty.rey36
🌺Mtoto🌺rey🦋 :
Amiin inshaallah
2026-10-21 20:16:45
1
soulemani.mbaya5
soulemani Mbaya :
Amin Amin Amin 🤲🤲🤲🤲
2026-10-21 14:27:06
1
hamad.hlial.hamad
HAMAD HLIAL HAMAD :
mashaallah
2026-10-21 13:15:42
1
To see more videos from user @zahmid_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About