@zungukakereog: #maandamano #creatorsearchinsights #tanzaniatiktok🇹🇿 #trending #CapCut

Kaka wa taifa tz
Kaka wa taifa tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 21 October 2026 08:03:35 GMT
49784
1738
181
31

Music

Download

Comments

yussufhajji487
yuzy chand :
wamefungwa mashekhe zetu miaka 9 na hakuna kilichofanyika hata kimoja
2026-10-21 09:44:38
88
sweetletmushi469
Sweetlet Mushi :
Lisu afungwe tena daima. Kwa sababu amehamasisha upuunzi na watu wakaingia kwenye vurugu, tumepata hasara ya watu, tumepata hasara ya mali za watu, tumepata hasara ya mali za serikali ambapo wanufaika ni sisi watanzania , kibaya sana ameleta hasara ya Tanzania kuwa na image mbaya, hivi unadhani huku Lisu alipotufikisha ni hasara ndogo, ni hasara ambayo haijawahi kutokea. Yaani hata adhabu aliyopewa ni ndogo, kulingana na alichokifanya. Sasa Tanzania bila Lisu inawezekana. Yeye huyo hana umuhimu kuliko amani yetu. Na hii serikali ndo tunayoitaka. . Lisu akifungwa Tanzania itatulia.
2026-10-21 16:43:40
43
steventindwa219
Steven scaba :
kwanini asifungwe miaka 50....mbona miezi sita midogo sana!!
2026-10-21 10:34:43
31
gulamfaza
gulamfaza :
kaka ubarikiwe.
2026-10-21 08:34:04
24
kala.mzuluvendi
Kala Mzuluvendi :
Ukiona mru yeyote mwenye akili Tanzania uwa hukubaliki,Huyu dada ana akilj sana anaona mbalj na ndyo maana anaundiwa sana tume za kushambuliwa si unaona hata huyu anayejiita kaka wa Taifa na mwenzake wanajaribu kupambana na akili hii na anathibitisha kile anachosema Mange anaye anathibitisha
2026-10-21 09:47:48
9
bimganga88
bimganga :
njoo mange TZ uje uwe wakili wa Lisu.
2026-10-21 14:15:17
25
asteria9090
. :
Hawa kwa sasa wanatapatapa kusema uongo, wasubiri aachiwe watasema mengine.
2026-10-21 08:16:47
18
mustafasaidi00
mustafasaidimwang :
u miss na uhaini wapi na wapi?
2026-10-21 14:56:53
13
yussufjuma23
zanzibar :
sasa watanzania au chadema
2026-10-21 08:33:15
7
crazy.teen7
crazy teen :
kweli naafungwe sisi sai kwaraa zetu tu
2026-10-21 10:31:36
5
rachel.antony3
Rachel Antony :
mm ninajuta kuzariwa. Tanzania inchi ambayo inadhurum nafsi zaa watyuu watu kutekw jaman
2026-10-22 13:45:08
0
keyboe615
Ke Boe :
Serikali inamkono mrefu 💯🥴✌🏾
2026-10-21 11:24:39
5
maryam.omar772
MARYAM OMAR :
mwisho WA ubay?
2026-10-21 11:36:10
2
usertheshiran
the shirani black man :
sawa nilamwenzako kuwa huru kuongea
2026-10-22 12:40:07
3
user1718614903284
chabi :
ndo mana hukutaka miss apigiwe kura
2026-10-21 08:58:23
7
user3514801359688
BADRU JR :
hajawahi kua na habari nzuri kwa nchi hii hakuna mtu anaogopewa mange hapa ni haki tuu
2026-10-21 09:33:02
5
maulid.mwegio
Maulid Mwegio :
Kaka Wa Taifa 💯✔️
2026-10-22 07:45:31
2
notificationoflive2
notification :
Fact
2026-10-21 18:55:06
2
aballflavourchuptachupta
aballflavour :
Kaka upo sahihi Umeongea point
2026-10-22 08:44:45
2
losim76
Losim :
Kama hana umuhimu usipoteze muda wako
2026-10-22 06:06:51
2
maisala26
Maisala Evarist💌 :
Nataman aman ndio cha kwanza kabc
2026-10-21 17:39:28
2
user2047105466211
Mwana--Mpemba og :
Siyo watanzania, sema baadhi, hususan Chadema, mimi simo kunako upuuzi huo
2026-10-26 12:33:56
1
raggyy9
Sal :
Kakasirishwa na mataifa ya Marekani na Europe kwa kutoa ushirikiano na Tanzania anasingizia Lissu
2026-10-22 01:26:40
2
user.kurwa.mpemba
user kurwa mpemba ❣️❣️ :
mange ndo aliyepongeza watu hawajaenda wengi kwenye kumpokea miss leo lisu watamfunga wasababu ya u miss yan watu wengi walisimama na u miss sasa hapo mange ana maana mambo haya ✌️
2026-10-21 09:35:34
3
mariamabdullah235
mary :
safi sana kaka ni kweli hatujali kuhusu lisu ki vyake na mambo yake
2026-10-23 11:25:39
2
To see more videos from user @zungukakereog, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About