@kaka_rafiq: sema kitu mwenye comments...kama ni kosa kiri kosa lako....kama ni salamu mpe Hi Hi ya mbinguni. tunaruhusiwa kuumia na kusema makosa yetu..tunaruhusiwa kuumia juu ya watu tulio wapoteza hata kama sisi ndio tulisababisha kwenda kwao. This one is for everyone carrying the pain alone...ulikosea, ukampoteza...mrudie Mungu wako kwa sala na maombi. Our angels in heaven, tunawafikiria sana, tunawapenda na tunawaombea. #fyp #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktoktanzania #tiktoktanzania🇹🇿tiktokkenya🇰🇪🇺🇬🇿🇼💯 #trendingtanzania🇹🇿
nilichojifunza ukifa tu mwanaume anakuwa hana alichopoteza kwako wazazi ndy wana baki na maumivu Co nijithamini
2026-10-21 10:11:26
503
Rè :
wanawake wenzangu si mnaona jinsi wanavyoandika bila hisia (no remorse at all).! Tusisahau kuishi
2026-10-21 13:19:14
249
Bebee😍🍒 :
Mungu ikikupendezaaa na Andrew dawa zimkataeee baba 😭😭😭😭
2026-10-21 10:57:34
131
Jocelyn✿ :
May they all rest in peace ❤️
2026-11-11 10:06:45
0
Nee :
Andrew we🤔
2026-11-10 15:05:04
0
GINNA :
nyie nyie mnaona wanaume wanavyo tuuwa jamani tujipende mwenyewe awa watu wanatisha sio wakuwamini kabisa 😳
2026-10-21 10:36:01
136
Jassy baby :
Jamani nilichojifunza ni kwamba hata hawa wanaume nao wana mengi sana moyoni ila hawana mahali pakuyasemea😥😥😥poleni sana
2026-10-21 08:51:44
54
Winnie001 :
Aisee wanaume wengi wana roho mbaya na ngumu sana,daaah inapaswa mtu uishi ukijua Mwanaume sio mtu wa kumtegemea with your safety and happiness yaani kuna meseji nasoma hapo nasikia tu uchungu na hasira 😔😔😔 inauma sana kama ipo siku mume wangu nae atakuja kuchukulia kifo changu lightly hivyo,Mungu atawalipa though watakufa kifo cha aibu sana,na hao wenye maumivu Mungu awatie nguvu💔
2026-10-21 12:50:24
24
Its~~cynthia🥀🍂 :
na Kuna Mtu anaambiwa asiharakie ndoa hasikii😂
2026-10-21 12:43:32
40
🌹FETTY 🌹 :
Post zako zinaniumiza staki kuzisoma tena kwann wanaume wapo hivi😭😭😭😭😭😭😭😭😭
hiyo kutochukulia mambo serous ni mbaya sana, mimi nilimuacha mchumba wangu 2wks before engagement , naumwa kipanda uso nikamwambia aka hisia najifanya ili asiende kuangalia match ya Man u hapohapo ndiyo husband lilifika mwisho, kwasababu kuna siku utapata tatizo kubwa la kweli na atachukulia mzaha utakufq
2026-10-21 10:31:05
27
yeah, it's ME :
huyu andrew
2026-10-21 09:14:56
16
She’s cute👠🎓 :
Najua soon tu atatokea mtu au watu wataiga hii idea ya Rafiq lkn tusiwasapoti kwa kuwajb wao tubakini apa apa rafiq kaanzisha na inatufunza na yy ndo ataimaliza
2026-10-21 11:16:47
30
andromeda :
Ectopic pregnancy isikie kwa shetan asee kifo nilikichungulia nilikiona kifo live tena ilikua ya 3months uwiiiiiii Mungu kama kipindi kile sikwenda na maji basi unakusudi kubwa sanaaa na mimi.
2026-10-30 10:13:19
7
𝒵𝒶𝓇𝒾𝓃𝒶 ᥫ᭡ 🌴🐆 :
Jems mhh
2026-10-21 09:19:55
10
Ms pheyounah💕 :
mbn kama ote wanawalaumu marehem💔🥺
2026-10-21 10:07:25
6
ranah official :
FEAR MEN😭😔🥹
2026-10-21 10:29:42
5
Naah :
yaan nashindwa kuelewa mtu kashakufa bado mtu inamlaumu kwamb hakuskia hayo sio machungu
2026-10-21 10:40:23
5
White Maria💫 :
Wanawake kujichagua sisi kwanza wanaume ni wabinafsi sana naomba kuwasilisha
2026-10-21 20:23:57
8
JIKO LA BIASHARA :
Nimsikie mtu anasema nenda Katoro, nilikuwa na huzuni ila huyu wa kafara hapana hatakama hajapenda😭
2026-10-21 08:29:25
20
miss swaumu🥰🥰🥰😘 :
yaan post za hap zinanitesa kweli nitaweza kuolewa kweli kama nitaweza mungu naomba unipe mwanaume mwema wa siku zote😥😥
2026-10-21 11:15:42
9
It’s valora 💎 :
Najiona kbc nikizaa bila kuolewa walah
2026-10-21 12:07:54
7
user951063191071 :
Mambo ni makubwa huku hadi nimewaogopa Wakak jmn kuna hadi kutoana kafara jmn 🥺😭😭
2026-10-21 10:51:34
6
To see more videos from user @kaka_rafiq, please go to the Tikwm
homepage.