@chadematz: Makamu Mwenyekiti Mhe. @HecheJohn akiwa njiani kuelekea Haydom kwenye Kongamano la Bawacha amekutana na wananchi wa kijiji cha Qaru, Kata ya Endabash, Wilaya Karatu wakiwa wanachota maji. Walipata wasaa wa kumweleza Mhe. @HecheJohn adha ya maji wanayopitia katika kijiji hicho.
kwa hiyo nyie mnawasaidia nini? hiyo Hera ya tonetone hamuitoi kuwachimbia kisima?
2026-10-21 10:57:27
2
GEOGRE MOLELI :
pambana mkuu wangu john heche wa Tanzania wanateseka sn
2026-10-21 10:38:59
5
𝗕𝗘𝗡 𝗞𝗜𝗦𝗔𝗡𝗚𝗔 🇿🇦 :
Mwamba HECHE
2026-10-21 09:16:41
6
Mussa123 :
IYO NDO MIRADI YA CCM
2026-10-21 09:22:59
7
wamunyinyi12 :
Miaka 64 ya uhuru Ccm wapo madarakani wananchi hawana maji na hii ndiyo hali harisi ya maisha ya watanzania. ccm itaondoka madarakani kama alivyoondoka firauni
2026-10-21 11:59:44
3
FRANK@@KING. :
Hawatoi hata kodi hao maana ni kama vile wapo nchi nyingine.
wanaishi vzr kweli hadi raha hata deni la taifa haliwahusu.
2026-10-21 11:20:40
1
Passcode lasway :
Duuh Hapa ni Tanzania au naota jamani
2026-10-21 09:49:26
4
Son de light 16🔥🇹🇿 :
wananchi wanateseka na maji hivyo afu huku kuna bajeti ikawekwa kabisa ety kuketa kombe la ligi ya wingereza na kulitembeza tena likiwa na ulinzi mkali jamn nachoka mm
2026-10-21 10:10:26
7
Hussein Msaye :
duuh nihatari
2026-10-21 09:31:14
2
jpherman :
Dahh hatarii
2026-10-21 10:17:19
1
bashiru kokumo :
mtetez wa nchi yetu
2026-10-21 09:07:38
2
Munga Real Estate :
statue changamoto hizo sio anaongea nao tu alafu anaondoka zake.
2026-10-21 15:16:02
0
Aziz Rama :
kweli ni nd tz miak 65 ya uhur maji barabara mbov umeme kila kitu lkn rio Fernando analetwa na hel aliy tumia billion 400 ase kwel nd tz mara mwingn kasem atajeng msikiti wa b 21 ya nn.maji hmn wat masking wapo.weng
2026-10-21 09:23:44
2
Steven moses :
Kwan chadema ivo vitu kwann msifanye nyie kwa vitendo yaan kama ni visima chimbeni na kama Barbara tengenezeni na kama ni ma hospital jengeni tuone lakn sio kutafuta mazaifu ili ujifanye uko na huruma kwenye macho ya watu
2026-10-21 11:58:44
0
Denis Minja :
Kamanda Heche Peleka Moto BABA
2026-10-21 10:29:13
1
Yusin Nifty :
apo kuna mambo haya ✌️
2026-10-21 18:44:23
0
Paul Melau 9⁹/ :
Hivi Tanzania inzima tukiamua kuchanga hela inchi zima tuhakikishe maji wanapata kila mtu itashindikana maana kodi haitusaidi chochote tuwapatie watu tunao waamini uteklezaji w maji ufanyike inchi inzima tutashindwa kweli
2026-10-21 10:36:15
0
munisi :
heche hao watu hawana maana.
wote ni ccm na wameridhika
2026-10-21 15:27:35
0
Juma Abdu :
ukweli na uakika miaka 63 ya uhulu
2026-10-21 14:19:17
0
Ntuzuboy :
heche unafaa kuwa makam wa rais nakuomba mungu afanikishe ndoto yangu
2026-10-21 19:10:48
0
Abdulkarim hussein :
sasa izo ndo atesheza kiongozi bora kazia ivoivo👍👍👍👍👍👍
2026-10-21 18:24:45
0
NIMABOY :
et hii ndo tz jaman mbka inatia huruma
2026-10-21 17:15:50
0
johannes :
john heche baba mim sin den na wew
2026-10-21 19:06:55
0
Emanuel N mbene :
mungu hakupe guvu mrf✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️
2026-10-21 10:54:07
0
To see more videos from user @chadematz, please go to the Tikwm
homepage.