@bakar.abdallah.hm: DKT. HUSSEIN ALI MWINYI, RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI, anapongezwa kwa kuwajali watumishi wa serikali kwa kuongeza kima cha mshahara. Kwa sasa wanatarajiwa kuongezewa tena mwezi huu!OCTOBA
huyu raisi abaki miaka yote ili azidi kutuneemesha
2026-10-21 17:25:59
6
Safia khamis :
tajiri hujaniona au
2026-10-21 15:56:13
1
careen❤️ :
Congratulations, Dr. Hussein Ali Mwinyi, on this great step from 300,000 to 500,000! 👏❤️Indeed, you are a truly exemplary president who cares about and values the people. May Allah bless you with a long life, good health, and more strength to continue serving the people. May God protect you and grant you more wisdom and blessings in your leadership. Ameen, InshaAllah. 🤲❤️🇹🇿
2026-10-21 13:53:48
3
halima mohamed :
5 tena
2026-10-21 18:12:26
2
chia :
uongo tu lakitatu hio kaitia nani.hio ilio ahidiwa haikutiwa hio
2026-10-21 16:29:45
0
3456 :
hizo bei za vitu balaa mie naona tubaki na laki tatu yetu tu [Big LOL]
2026-10-22 05:59:06
1
King roja xvi :
niwakumbushe watumishi pasipo na kubadilisha mtazamo kuhusu mshahara baada ya miaka miwili mutasubiri mei mosi mukalalamike mshahara hautoshi. ongezeko la mshahara ni haki yenu ila tunakuza mambo sana. kaeni mtafakari namna ya kumaintain mshahara
2026-10-22 03:08:19
1
habib24950 :
Punguzeni kukuza mambo
2026-10-21 16:01:16
1
Asia Mohamed :
mungu ampe wepesi kwenye uongozi wake
2026-10-21 17:32:02
4
BAKAR ABDALLAH HMADI :
TAJIRI 5TENAAAAAAA
2026-10-21 09:24:03
3
Amina zarf :
safi sana
2026-10-21 15:25:40
0
princess 🥰 :
anaongeza mishahara wahanga wa barabara ya fumba wanalia na malipo kidg kweli ndo haki iyo mtu unaenda muondoka maeneo yake barabaran mwenyew unaenda mpk milion 70 au 80 hak kwel kiwanja t milion 20 znz 🥺🥺 serikal yang ya mapinduz naipenda snaa ila kwenye hil nimeumiaa Sanaa sio haki ata kidg natumechukizwa sana , na saiv zipa inavamia bweleo wananch twende wapi kwel kupata hak zetu ?? bas wawe wanalipa uzur tuu
2026-10-21 20:51:54
0
Amina Is- haka :
asante baba umeupiga mwingiii✋tenaaaa
2026-10-21 18:35:13
2
Ally Salum :
akimaliza kipindi chake tumuongeze tena mi5
2026-10-22 05:49:53
2
Didamo :
tajir huna adui
2026-10-21 16:49:52
1
daruu1981 :
hongeraaaaaa
2026-10-21 15:45:38
1
mzungu :
mashallah sihaba
2026-10-22 18:21:15
0
Aysha :
2026-10-21 14:37:53
0
mommy ayraa :
yaani. mungu ametuokowa kupitia mja. huyu dahhhhhhh hakuna. ibada tamu kama kutia furaha kwenye nafsi za wenzio. hatutak uchaguz mwengine
2026-10-22 18:29:22
0
Ruu :
Wameheshimishwa si haba lkn sie wengine abujubuju hatuna jambo
2026-10-22 05:35:28
0
mzungu :
saiv awaajiri mawakala tena wa JKU
2026-10-22 18:21:52
0
mzungu :
Ameen
2026-10-22 18:21:31
0
pretty girl 👧 :
boss kachek
2026-10-24 07:43:49
0
mommy ayraa :
Kwa kweli
2026-10-22 18:26:34
0
nainai🌹 :
2026-10-21 17:01:18
0
To see more videos from user @bakar.abdallah.hm, please go to the Tikwm
homepage.