@smilekeofficial: a'mthecareless hii kimbelembele ndio sipendi.... anyway finya hako ka like na follow button for more exclusive contents😂😂😂🫵#kenyantiktok🇰🇪 #trending #meme #humor #fyp
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] kwani hamjui hile part ya kunigonga umenigonga ndio lkn nimehapa hauendi na manzi, wacha katambe shasha alaaaaa[Tears of joy]
2026-10-21 10:53:17
629
@barak.kk :
kwani mmesahau ile ya,,walitambaa nakutambaaa nakutambaaa😁na nyakati aahhhhhhhhhhhh😅 ni za usiku usiku🤣🤣
2026-10-21 11:26:27
1513
@malaki001 :
mimi ili part ya alimgudha ororo live 😂😂🤣🙌 nlikuwa nakaa rada
2026-10-21 09:43:39
1252
Shabbs Hernandez :
lakini zote hakuna tamu kama movie ikianza alafu anadai aaallllrrriiiigght... asanta sana. maridadi pozhi tena pozhi kabisa😂😂
2026-10-21 09:49:15
958
Emmaqlate 💖💝 mhumble :
alafu aongezee,,, ajui afanye nn wala atende nn
2026-10-21 09:40:45
366
J-C-O-B-S-🎀.💙.💖.🖤 :
The fact that nasoma na at the back of my mind natumia sauti ya Dj Afro inanishtua😭😹