nakwamujibu waqur ani sulat al imran
3:33 katoka katika kabira
la al imrani muna semaje
wagalatia amuna hoja qur ani
haijaachakitu
2026-10-22 19:00:04
6
eklia kalaita. :
limemshinda amekaa kimy na hii hajaiposti kwenye kulasa yake kwann🤷🤣🤣 nashidwa kuelewa hapa ni yanga au simba
2026-10-23 09:19:01
1
Sam🇹🇿 :
hawawezi kujibu hilo Swali
2026-10-22 16:18:44
1
Paul Amka :
huwezi kumuelewesha mtu wakati kichwani na akilini mwake tayari ana msimamamo wake mtachofanya hapo ni kubishana tu
2026-10-23 16:06:35
0
tuma :
mpe maryamu kabila lolote ili awe mtanzania mwenzetu
2026-10-22 16:30:48
1
HOMBRE DE ZANZIBAR :
sasa kabila linahusiana nini na uungu
2026-10-22 16:14:17
3
Martinez :
allah akbar
2026-10-23 04:48:31
2
Pay it 💬 :
yesu gani
2026-10-23 03:28:57
0
elbahsaany :
tusafiri twende ulaya😂
2026-10-22 20:55:37
3
Is'haka Rama :
:HAPO KUNA MAMBO HAYA ✌️
2026-10-22 09:45:03
2
ramona :
kumbe kun yesu wawil duuuh ngom ishkuw nzito😅
2026-10-22 16:37:39
1
Tobiasi :
SOMENI MANDIKO MSIBISHANE. ILI WATU WAPATE ELIMU
2026-10-22 16:25:06
1
Jumanne Yasini :
hoja ni kabila au nini
2026-10-22 13:00:12
0
🔓 :
yesu Hana Baba binadamu ila ni mungu mwenyewe kaka kwenye tumbo la Mariam kwahiyo ukoo atakaye ichukuwa niyamariamu mama ake kwasababu yusuphu nikama Baba wa kambo yesu ni kabila ya yuda
2026-10-22 19:37:15
0
Pasco tz :
Hajuiiiii 😂😂 young sayee
2026-10-22 18:01:23
0
Momy Aley :
maryam ni msukuma khalaswa
2026-10-23 12:09:34
0
Briana Glory😘 :
weye😂miyee😂😂Bwana Yesu asifiwee
2026-10-23 05:29:12
0
mbappe :
mashallah 😂
2026-10-23 07:24:26
0
Shanty hero💘 :
nyie yesu ni mume wangu
2026-10-23 13:09:39
0
BATOURY ♥️ :
mungu nae anakabila lake nachoka mm
2026-10-23 13:07:54
0
pokker 💎 :
msikilizeni yuko sahihi
2026-10-23 07:54:14
0
🕋أبو شارما ✨️ :
Maryam binti Imran (مَرْيَمُبِنْتُعِمْرَانَ), mama wa Nabii Isa عليه السلام.
Kwa mujibu wa wanahistoria wa Kiislamu, Maryam alikuwa wa Bani Israil, kutoka katika ukoo wa Imran. Kuhusu kabila lake mahsusi, simulizi nyingi za kihistoria humhusisha na kabila la Lawi (Lawiyyin), lakini hakuna dalili sahihi iliyo wazi katika Qur’an au Hadithi sahihi inayothibitisha kabila hilo.
2026-10-23 09:07:43
0
user74393735531460 :
Benjameni mwenziwe mkapa🙌🙌🙌🙌
2026-10-22 16:45:38
0
To see more videos from user @mabwangazanzbr, please go to the Tikwm
homepage.