@prophetsuguye: Kaka na Dada yangu elewa sio rahisi wakala wa giza au mjumba wa Shetani kukuruhusu kwenda mahali Mungu au Nuru halisi ipo. Kila kitu cha Mungu na cha ukweli huwa kinapingwa ila baadaye sana huja kukubaliwa . Inawezekana unapingwa ofisini kwako au kwenye mahusiano yako kwa sababu ya Mungu unayemwamini basi nikutie moyo usikate tamaa siku Inakuja watakuelewa kuwa wewe ni wa Mungu hasa na wao watamfuata na kumtumikia Mungu wako na usije shangaa wakisema kuwa walichelewa sana kufanya maamuzi. Tukutane Jumapili hii ya Uponyaji na Kufunguliwa ndani ya WRC KIVULE MATEMBELE YA PILI DARESALAAM TANZANIA. PIGA +255 655 448 116 / +255 688 448 117

prophet nicolaus suguye
prophet nicolaus suguye
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 21 October 2026 10:19:55 GMT
7819
586
30
8

Music

Download

Comments

user17331877971961
hakika@ :
amina prophet
2026-10-21 19:11:38
0
user7888374450613
Angel :
bab me naomb unitumie namb yak niongee na wew nin shid bab
2026-10-22 14:41:19
1
sami.muletewa
Sami muletewa :
🤲🤲🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏Mm mwenyewe mtoto wa Mganga yaan kutoka kizazi chote ni waganga mm nashukuru Mungu kwa kumtambua huyu nabii hakika nafuraha sana naami atanifuza mengi na nitafanikiwa katika njina la yesu
2026-10-21 11:46:59
2
justinamgathagmail.com
user3970012778149 :
ameen
2026-10-21 10:32:49
2
user312001131
Irene sifa :
Ameeeeeen Ameeeeeen 🙏🙏🙏🙏
2026-10-21 15:15:38
1
edwinasheli
Edwin Asheli :
njombe
2026-10-22 19:52:12
0
slavo6295
Slavo :
amen 🙏
2026-10-22 04:00:32
0
datius_milton
MILTON. :
ameeeen baba
2026-10-22 18:19:07
0
sheisnaah1
anny🌸 :
ameeen baba ang 🙏🙏🙏
2026-10-21 17:26:23
0
rehemabarrion
Rehemabarrion :
Amina baba
2026-10-22 02:44:35
0
costantinvenas
Costantin Venas :
amee. ndio yes
2026-10-21 20:29:51
0
user5469730116278
user5469730116278 :
baba tunakuomba uje na mtibwa mwaka huu baba
2026-10-21 15:35:36
0
my.surej
my surej🥰 :
baba nataka unitendee miujiza
2026-10-21 20:25:22
0
vmoney357
vmoney :
ameeenbaba
2026-10-21 17:22:23
0
kastuli.john
kastuli John :
amen 🙏🙏🙏
2026-10-22 04:13:15
0
lizzah007
Lizzah🥰🌹 :
amen
2026-10-21 20:29:26
0
rehemabarrion
Rehemabarrion :
baba uje na morogoro
2026-10-22 02:46:01
0
monalisabakar
itz_Nuryh :
❤️Amen
2026-10-21 10:37:54
0
amayra.yese
amayra yese :
Amina baba
2026-10-21 11:22:08
0
naoomy51
Naoomy🌹♥️ :
Amen
2026-10-21 11:49:40
0
witinesmwakilema
🥀wity😘 :
mung akutunze baba nataman cku nipate kibali nije matembel ya pil nikuone baba
2026-10-23 08:29:43
0
gracemosse
MERONA💞💣 :
2026-10-21 13:04:55
0
user2850635518256
user2850635518256 :
kabisaaa nabii nilikanyaga siku moja aseeee roho mtakatifu aliyefurika kwa hii kanisa Mungu yupo hapo
2026-10-21 12:45:43
0
hamisskawe
HAMISS KAWE :
aminababawewepamoja,yesuwambinguni,
2026-10-21 12:01:41
0
_vannester
sonny :
utapeli mtupu
2026-10-21 18:26:25
0
To see more videos from user @prophetsuguye, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About