@dalaliwakitaaarusha: 🏡🔥 KIWANJA KINAUZWA MIANZINI – MWISHO WA LAMI! 🔥 📍 Location: Mianzini, mwisho wa lami, Arusha. Unatafuta kiwanja kizuri kwa ajili ya kujenga nyumba ya kuishi au kufanya uwekezaji wa kibiashara? Hii ni fursa yako! 💯 ✅ Kiwanja chenye ukubwa wa 25 × 20 ✅ Tayari kimezungushiwa ukuta ✅ Kisima cha maji kipo tayari ✅ Kipo karibu na barabara mpya inayojengwa ya Mianzini, takribani mita 10 tu! 🏠 Kinafaa kwa: ✔️ Kujenga nyumba ya kuishi ✔️ Kujenga nyumba za biashara ✔️ Uwekezaji wa muda mrefu 💰 BEI: TSH 65,000,000/= (FIXED PRICE) ⚡ FURSA YA KUWAHI! Kiwanja chenye maandalizi muhimu tayari, katika eneo lenye fursa nzuri ya maendeleo. Mobile:0783209187 Instagram: @dalali_wakitaa_arusha . . #realestate #luxury #interiordesign #homedecor #business