@mshindo_tv: SEREKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar Kupitia Wizara ya habari Sanaa utamaduni na michezo imefanya punguzo kubwa la ada za leseni za maudhui ya mtandaoni (ikiwemo Online TV) ili kuwapunguzia mzigo waundaji wa maudhui ya kidijitali nchini. Akizungumza na Waandishi Wa habari wakati Akitoa Tamko la punguzo hili huko Ofisini kwake MIGOMBANI Mjini Magharibi Unguja, Waziri wa habari Sanaa utamaduni na michezo Dkt Riziki Pembe Juma @mh.riziki.pembe Amesema Kuwa hayo yote yametokana na ombi lililotolewa na Wadau wa Utangazaji Siku ya Tarehe 31 machi 2026 wakati wa Semina ya watendaji wa VITUO vya utangazaji iliyoandaliwa na Tume ya Utangazaji Zanzibar Ambapo Mhe, Waziri Alikua Mgeni RASMI. Hivyo Basi Amesema kutokana na serikali ya Awamu ya 8 inayoongozwa na Dr Hussein mwinyi kua Sikivu iliyachukua maombi ya Wadau na imeyafanyikazi na sasa kuna punguzo kubwa la Ada za Usajili wa online tv pamoja na watengeneza Maudhui. #MshindoTvOnline #MshindoMedia

Mshindo tv
Mshindo tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 21 October 2026 10:42:13 GMT
57935
1712
115
197

Music

Download

Comments

bryfanali
BRYFANALI :
MAISHA ZENJ BADO MAGUMU MNO
2026-10-21 12:55:08
11
said.ishaq16
Said Ishaq :
Punguzeni na ushuru wa chakula ili chakula kishuke bei ndio mbo ya msingi
2026-10-21 13:09:53
20
munga5041
munga :
Me nilijua leseni za gar na honda
2026-10-21 14:08:19
13
magangaissa859
Maganga Issa :
bado mahari
2026-10-21 12:59:19
6
mr_nobody0078
Kisesa :
Mapema sana kesho in SHA Allah
2026-10-21 12:05:06
3
totokanko4314
T4314 :
punguzeni na bei za kurinyuu leseni za magari
2026-10-21 15:08:21
0
africanbeauty752
African beauty :
yani mambo ya msingi tunaonewa barabarani fain kubwa wanafatilia mambo yasio na msingi
2026-10-21 12:41:00
3
muhama335
😘MURASA😘 :
leseni gani izoo
2026-10-21 17:45:46
0
duizamatelophone
mr harith :
wana zungumzia leseni ipi kwanza
2026-10-21 13:09:46
1
bizzo_boys
Bizzo_boys :
apo kuna mambo aya ✌️
2026-10-21 17:38:27
0
abuuhawaa
Abuuaisha :
chakula bei juu
2026-10-21 12:50:26
0
young.liy.tz
Young liy Tz :
punguzeni bei leceni za gari
2026-10-22 11:38:32
2
ctyamiry
ctyamiry :
Bado nauli tena iwe mia 500 Ile Ile jamani mambo magumu mnoooo twafa 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-10-21 17:28:54
1
fabolizomafyonso
Fabolizo Mafyonso :
Hongera sana Muheshimiwa Waziri kwa kazi nzuri na wananchi tunaona jitihada zako ila tunawaomba na masuala ya Makodi na mafaini Barabaran yanaumiza sana kiukweli wananchi wa Nchi hii wana hali ngumu sana muwafikirie na wao musiwaweke masheria ya kuwaimiza na kuwanyonga.
2026-10-21 14:21:07
2
pacome2621
pacome :
punguzeni na faini za barabarani hapo tunajua hapana muwekezaji
2026-10-21 13:28:14
0
karim_fighter5
Karim_fighter :
na faini punguzeni
2026-10-21 21:01:04
1
user4265156343300
mohbad :
tumshukuru na diplo master pia big up broo
2026-10-21 16:22:41
1
udourejunior
Udoure Junior :
lesen za nn hzo au za tv
2026-10-23 14:43:21
1
drago.de.zanzibar
Dragoş de Zanzibar :
bdo lesen za uderev tunguzien hatutaki kuwakera maaskari w zanzibar ahsante
2026-10-21 13:41:17
0
kisauti_1
Abdallah 🇹🇿 :
zanzibar kuliko ulaya kwa fees..
2026-10-22 06:48:07
1
lihodo.znz
lihodo Znz :
Mimi Bado sijaifahamu
2026-10-21 16:25:01
0
idrissa.mohd6
Idrissa Moh'd :
serikali sikivu, tunakuomben mpunguze pesa za lessens za gar na honda na msitusumbue sana tukija kuchkua
2026-10-22 05:12:08
1
aaani.nassir51
@ :
jamani shughulikien na kampuni wanatuuwa miez 5 hatujalipwa ata mshahara mmoja jam [Teary eyed]
2026-10-23 18:13:42
1
fahadmohd78
fahadmohd :
Sasa apo ufungue duka la dawa za tiba asili kubwaa 330000 wakat mtaji wako unaanza na laki 2 wanakufungia wanakuqmbia hujawa tyr kufanya biashara wakat vijana tunaambiwa tujiajiri lkn maafisa wanakuambia ww hujajipanga na hili pia mkalione
2026-10-21 12:10:53
1
bublee87
Bublee zanzibar excursions :
Muwapunguzie tozo pia madereva wa private hire zinawaumiza especially permit
2026-10-23 14:47:18
0
To see more videos from user @mshindo_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About