Sasa ni kweli yes,na ndo tumechora sasa hio mi tatto na ya msalaba kabisa na mimi ni mtumishi wa Mungu nampenda kristo,najua hio hila yake,kukataliwa na vyote,but ndo kashanisamehe au labda mimi sielewi hili neno,maana tatto ni ulimwengu wa roho na Yesu alitufia wapendwa,msiseme ivyo bana,watu wasirudi.kundini kumuishi yesu jaman.
2026-10-21 20:59:58
0
nicprecious :
Mungu atusaidie
2026-10-21 15:39:34
1
Calvin Bruit :
Sasa mbona au zungumzii alama za Mungu au alama zote zinatumiwa na shetani azitumiwi na Mungu naombq unijibu maana sijakuelewa,uwekewe alama na Mungu alafu itumiwe na shetani apo imekaaje 🙏🙏 naomba jibu
2026-10-21 22:07:36
2
Glory :
Sasa mimi niliechora nyau wangu 😻
2026-10-31 18:22:47
0
Kirungu Godfrey :
yah barikiwa sana pasta🙏
2026-10-21 12:57:57
1
tilla_91 :
Toba ipo kwaajili yetu dhambi Moja tu isiyoweza kusamehewa biblia imesema ni kumkufuru Roho mtakatifu Bas tukiomba Toba ya kweli nakutokurudia dhambi hiyo tunasamehewa
2026-10-23 06:21:43
2
Naphtal :
kweli 💯
2026-10-21 11:32:51
1
jephther :
na kwa wale wanaotubu kwa undani
2026-10-21 14:14:46
1
teryy :
but mungu anasamehe
2026-10-29 18:27:08
0
madam kadot :
ohyes
2026-10-30 11:19:50
0
zawadi beuty salon :
nifanye nini sasa ili niweze kufunguliwa
2026-10-21 11:29:25
2
Tina Tosha :
damu ya Yesu ime Tu funguwa na kutupa kibali cha msama
2026-10-27 15:49:09
0
bridgeht1 :
Duh
2026-10-29 00:19:04
0
mama G+ :
Mungu nimwenye huruma angekuwa anafanya hivyo mbingu tusingeiona, anasamehe na kusahau
2026-10-22 13:13:52
0
wani❤ :
ubarikiwe sana
2026-11-01 12:21:58
0
vyonne Nicky :
uqwri bro I understand you
2026-10-30 20:47:20
0
trace_official :
Amen mtumishi
2026-11-01 07:01:26
0
Kenny lb@ :
Amen
2026-10-26 12:18:11
0
Ibra.M :
where can i get this sermon on YouTube @Apostle GC Angle iko kwa YouTube
2026-10-23 10:04:20
0
barakamichael73 :
akika umenena
2026-10-23 08:06:22
0
mimi :
have mercy on us oooh Lord
2026-10-22 07:00:01
0
To see more videos from user @gcangel1, please go to the Tikwm
homepage.