nimekubali kutembea kwenye huu wito ila mapito ni mengi sana
2026-10-21 13:45:16
3
Happy Oney :
Ahsante madam.
2026-10-22 07:51:16
1
Dorothy :
amina tunajikubali
2026-10-22 07:17:47
1
Oscar Boss Mullar :
Hapo mwanzo sikua najua kwamba mimi ni choosen one sasa nimeshatambua na nimekubali na naikubali hali hii na naipenda hali hii maana ina baraka kwangu japo njia zangu ni ngumu ila najua ifikapo muda sahihi kila kiti kitakua sawa
2026-10-21 20:23:09
2
farharita :
thank you..sikujui sijawahi kufollow lkn umenipa hope leo[Heartwarming]Mungu akubariki sana
2026-10-22 07:04:40
2
Naomi Joely :
da vivy usharudi Tz
2026-10-21 11:13:29
1
Peterson Mtweve :
inagarama🥹🥹😥
2026-10-21 19:53:11
1
dee_staar_tz :
amina
2026-10-21 22:26:49
1
me myself and Omari musa :
Asante Sana God bless you
2026-10-21 13:31:59
1
Gyakie💐❤️ :
dada mzur naomba unisaidie mi nimezaliwa sept 29 na jina ni R nyota angu ni ipi na asili yangu nihip
2026-10-21 15:00:40
0
farharita :
nmeukubali huu wito ewe M/Mungu endelea kusimama na mimi njia zangu ni ngumu sana na mbele sikuoni
2026-10-22 07:07:15
1
Salmayusuph🥰🥰 :
mikuna mkaka aliendaga kwa shangaz yake mganga akanwambia mim ni mkosi nilaan atapoteza vitu vyoote kweny maisha yake daaahhh niliumia kwa maan nilikuwa sijajijua kiuhakika Kuna vitu nilikuwa naviona na vinakuwa ila nilikuwa sijifuatiliii sana
2026-10-22 19:40:29
0
user9458746554666 :
yaan mimi nilikataliwa na mama yangu adi Leo hii ata ndugu hawanipendi ata kidogo adi niliitwa mimi mchawi wakat ata uchawi sijui ata mahusiano shida
2026-10-22 10:12:56
0
awa phiri :
true.daughter.of.light
2026-10-22 18:25:28
2
DESTINY VISION SALON :
hivi kipenzi nikuulize, nyota ya mtu huambatana na jina au mwezi wa kuzaliwa? Mimi ni March 7 na jina A??
2026-10-22 18:10:49
0
OBa Bad ZEPE Kenyon :
oj
2026-10-22 12:30:57
0
MaRksMaN ShoOteR ☣️ :
You said it all
2026-10-22 08:07:33
1
Bidhaa_stores :
kuna video nakumbuka uliongelea ila bado watu hawaelewi ungeipost tena ili waelewe
2026-10-21 14:01:26
0
To see more videos from user @vv3asia, please go to the Tikwm
homepage.