@ukweli_mchungu:

𝐔𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢-𝐌𝐜𝐡𝐮𝐧𝐠𝐮
𝐔𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢-𝐌𝐜𝐡𝐮𝐧𝐠𝐮
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 21 October 2026 11:02:51 GMT
118336
10469
183
88

Music

Download

Comments

juniortz_5
JUNIOR :
Kumuelewa Gigy ni mpaka uwe umepitia situation kama hii
2026-10-21 17:39:09
393
user68550027009456
user6855002700945 witness og :
Mimi namuelewa sana gigy 😭💔💔💔💔
2026-10-21 15:06:08
150
glorysilayo1
Mom bless🥰🥰 :
daah kaongea Kwa uchungu jmn ah 🤦🏾🥹😔
2026-10-21 17:34:31
43
user1274370422583
aneth henry :
kama hupitii haya huwezi kumuelewa gg
2026-10-21 18:55:15
69
thereallyt
It’s T🌱🌱 :
hakuna kitu kibaya kama trauma ya utoto
2026-10-21 18:33:11
87
naina4163
naina❤️❤️💋💋💋 :
nakuelewa sana gig inaumiza sana😭😭😭😭😭
2026-10-21 17:01:54
48
da.ney589
💞da ney💦 :
𝒑𝒐𝒍𝒆 𝒔𝒂𝒏 𝒅𝒂 𝒈𝒊𝒈𝒚
2026-10-22 10:25:29
0
sesilia.temu
SGT🥰 :
haya Mambo yanaumiza nyieee 😭😭😭 bara Gigi anaongea moyo unapumua, ila kuna wengi tunaumia na haya maisha 😭😭😭😭. mbaya zaid mtu anatoka na mama yako, alafu anakutaka na wewe!!!! nyieee 😭😭😭
2026-10-22 05:35:44
11
user456129695407
user456129695407 :
wanafiki watamlaumu huyu dada ila hawa wazazi wetu acha tu
2026-10-22 14:49:25
9
annhdbynyjyyrfrykyn
💦🦋 princess 💫🧚 angel 🌠☪️ :
natamani niongee ila naona hata nikiongea naongeza uchungu ila sitokaa nimsamee mama mpka na kufa kwanza nishaamin sina mzazi yoyote ila Mungu pekee anatosha🥺🥺
2026-10-22 19:11:06
4
rahmawaramela
kidoti og :
pole sana tunapitia weng
2026-10-21 15:33:49
12
elizajuma909
Chimaah :
kweli gigi nilio yapitia nayo yapitia kwa mam yangu mimi ad sasa kudaki walai unawez kumbadilish mam mimi ningebadilisha ila akunaga nafas yapil kwa maish y mam atabaki tuu mam ila wanatukoseacsan
2026-10-21 19:17:36
18
kuluthum.kimei
Kuluthum Kimei :
Kuna wamama changamoto aisee
2026-10-21 19:38:33
11
sue.cute8
sue cute 🥀🌺💗 :
wakina gigi tupo wengi
2026-10-21 15:18:13
10
muuh0138
❤️❤️muuh!!🥰 :
nilijuaga ni mama anguu tuuh
2026-10-23 19:32:16
2
angelamushizo425
angelamushizo425 :
🤔🤔duuh polee g
2026-10-21 14:00:09
6
mohsal45
Mohsal1310 :
pole sana gigy🥺🥺🥺
2026-10-21 15:22:21
4
navonmboya024
vOn Mboya 🔥🔥🔥 :
bora wewe Da Gigy, Mie nilikuwa nataka kuuwawa Na Mwanaume ndani nikamuomba mama akae na Wanangu Niangalie namna Ya kutafuta nyumba ya Kupanga nikae Sawa then nikawachukue nilichojibiwa "we Hao watoto ulinizalia Mimi dadaa? kila punda afe na mizigo yake.... Alafu Sasa hv nimejipata Ndio ananiona Wa maana Sana ✍️Tena Akae Mbali.
2026-10-22 14:24:42
3
jessiepink08
Jessie outfit Arusha🩷❤️ :
Tunao muelewa gigy tunalia🥺🥺
2026-10-23 23:35:56
1
prosperity9121
Prosper😜 :
Eeeh bhn usituchoshe kila mtu ana matatzo yake kwenye familia yake😂😂😂😂
2026-10-22 11:26:45
2
angelankya345
Bint nkya Nronga :
mm ndio Sina wakumwachia watoto
2026-10-21 18:14:51
2
hapileyna
hapileyna🦋❤️‍🔥 :
uwezi kumuelewa gigy kama ujapita kwenye hayo maumivu🥹
2026-10-21 21:34:23
2
blandinabenedict3
Fine blandie ♏️ :
nikae kimya🥹 anayopitia gigy ni Mimi mtupu afu wazazi wanajiona wapo sawa🥹💔💔🙌
2026-10-21 22:21:44
3
itsslim96
🦋It’s 🍀slim🦋 :
Wangu kasema hana muda wa kulea mjukuuu kasema kila mtu alee mwanae mwenyewe ndo maana sina nyege na mtoto
2026-10-22 12:41:59
0
user1252214145006
user1252214145006 :
Daah kumwelewa ggi ni ngum jamn😢😢
2026-10-22 10:15:03
1
To see more videos from user @ukweli_mchungu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About