@cotworld_gata_vigae: BADILISHA GATA ZA ROUND KUJA ZA SQUARE SASA Funga gata za kisasa SQUARE GUTTERS Kama Unatafuta Gata za Square zenye ubora wa hali ya juu hasa kwa ajili ya nyumba yako au project yako 🏠, basi sisi ndio jibu lako PIGA SIMU 0767687777 Sisi tunakuletea suluhisho kamili – tunauza gata imara, za kudumu na zenye muonekano wa kisasa, zinazoongeza thamani na mvuto wa jengo lako. Haishii kwenye kuuza tu! ✔️ Tunatoa huduma ya kitaalamu ya kuzifunga (installation) kwa umakini na viwango bora. ✔️ Tunafanya delivery hadi site yako, popote ulipo. ✔️ Tunahakikisha unapata bidhaa bora kwa bei rafiki. Gata zetu za square ni chaguo sahihi kwa wanaotaka uimara, mpangilio mzuri wa maji ya mvua, na finishing safi ya kisasa. Usikubali jengo lako likose mwonekano kamili – weka mfumo bora wa maji leo. Wasiliana nasi sasa, pata ushauri wa bure na bei maalum kwa oda yako. MAFUNDI WETU WAMEBOBEA KWENYE HIZI GATA #GataZaSquare #squaregutter #UjenziTanzania #jengakisasa #delivery

mtaalam wa paa na gata
mtaalam wa paa na gata
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 21 October 2026 11:42:17 GMT
11034
193
20
80

Music

Download

Comments

sajdayusufu
sajda vyombo classic :
mimi nataka niko mtwara mna wakala
2026-10-24 08:01:24
0
j645169
j :
mko wapi mbei
2026-10-21 20:38:40
0
samlion73
samlion :
arusha mna branch?
2026-10-22 21:18:01
0
user9848591196034
user9848591196034 :
Mnapatikana wapi kwa Dar
2026-10-23 17:57:38
0
mambuo20
mambuo20 :
wa mikoani je
2026-10-22 20:05:48
0
user6823411994917
lucas :
mje mnifungie
2026-10-22 04:57:12
0
mwanambwana54
mwanarain :
@Yuzor electronics oll product u see square gutter
2026-10-22 11:43:54
0
To see more videos from user @cotworld_gata_vigae, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About