@ahazdowntown: Soma kwa urahisi bila maumivu ya macho! 📚🎓 Infinix XPAD 30e inakuja na kioo kikubwa cha inchi 11 na zana za AI Learning zinazomsaidia mwanafunzi kujisomea na kufanya homework kwa urahisi zaidi. Betri ya 7,200mAh inakupa masaa mengi ya masomo bila wasiwasi. #InfinixXpad30E #Bigscreen #ChooseSmart