@mkakamweus2: Msanii Gigy money ameendelea kumtupia lawama mama yake huku akisema inawezekana maisha magumu anayo yapitia sasa ni kutokana na malezi mabovu aliyo lelewa na mama yake. Pia Gigy amesema, mama yake alimzaa Kwa bahati mbaya Kwa sababu mimba yake aliitoa na kwenda kumtupa chooni ila Kwa bahati nzuri watu walipata habari wakaenda kumtoa chooni akiwa bado ana pumua. Gigy ameendelea kusema kuwa, hizo habari zote alipewa na bibi yake na akaongeza Kwa kusema, mama yake na Gigy alipalalaiz baada ya kutoa mimba hiyo. Mbali na hivyo pia, Gigy amesema ameanza kufukuzwa nyumbani akiwa na miaka 12 tu huku mama yake akimsingizia kuwa anatoka na bwana wake (baba wa kambo). Sasa wengi mmeanza kuona chanzo Cha tabia za Gigy Money?#creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights
Kwanza Gig ana moyo me hata no yake sina na sizungumzi naye naona kama mama alifariki kwa mambo aliyonifanyia 🥲🥲
2026-10-21 13:53:38
53
Mameritha :
tuwe makini na mitandao jamani inachonganisha ☺️☺️☺️☺️
2026-10-21 12:37:12
13
Hawa Robert Sanzu :
mama yangu atanifanyia mabaya yote ila nitamuachia mungu nakumuomba amubadilishe mama yangu nasiyo kumdhihaki mbele zawatu
2026-10-21 19:28:49
17
cute23 :
kweli kuna wazazi hawapendi watoto waoooo ilaa ukiwaa na hela wanakupenda
2026-10-21 15:09:34
28
Oxygen :
Gigy yuko sawa. Hawa wanawake tunaowaita mama ndio wamejaa maovu tele lakini ni wa kwanza kujitia upendo kwetu. Tuliojeruhiwa twashangaa wanasifia umama kufunika madhambi yao. Wao ni binadamu na hukosea kama wengine wote, wabebe lawama zao. Hata bibi ni mama, hawezi kusingizia mwanawe.
2026-10-21 16:23:34
20
beatrice :
mama. angu aliniacha nq miaka 3 na nimekua nimezaa mapacha na nimempa anilelee kakataa shangaz yangu ndio ananilelea ila sijawahi kuwa na chuk nq mama na hela nampa usiwe ivo gigy
2026-10-21 15:48:35
7
Mrs S❤️ :
maumivu hayafanani msijitie kwamba nyny ndio mna nidhamu sana kuna maisha mengine watt wanayaishi ni kutokana na mama zetu au wazazi wetu misingi walio iyanzisha mwisho mtu anateseka maishan Pole ggy ndio maisha ww mlee mwanao kwa njia mzur na umpende ila uwo mzigo ataenda kujibu yy mwenyewe mamaako kwa Mungu leo ww ndio tegemez kwake ila Mungu atabak kuwa Mungu
2026-10-22 05:34:02
3
black beauty😘🥰 :
napitia mengi sana kuna muda nawaza nimama angu au
2026-10-21 18:02:54
6
Maltina Elias :
Hakuna Trauma Mbaya Duniani kama kuhisi Kukosa upendo, hata ukiificha lkn inakuthiri sana, chunguza sana watu waliokosa upendo, waliosalitia kwa maumivu makali sana, anaweza kuwa ana moyo mzuri sana ila trauma za kukataliwa zikafanya mnamchukulia togauti Mungu atusaidie jmn
2026-10-21 14:56:37
15
Magreth mayala :
Gig hana makosa wahenga walisema mtoto umleavyo ndivyo akuavyo na maamzi yaleo ndo matokeo ya kesho
2026-10-21 14:31:50
9
❤️thatgirlmaria🧸 :
ni mama ake mzaz kweli 🙊🥺
2026-10-23 09:47:39
2
❤️Nazmina🦋🦋 :
Sisi tunamapambano na baba zetu
2026-10-21 14:56:18
2
Heavenlight griezman :
@Heavenlight griezman:sawa kaumizwa lakini akili tuu na aombe msamaha mana hakuna kama mama na hamna awezae chkua nafasi ya mama..mana mama anameng hatakama anakosea bado ni mama..na kuna wengine wanatamani wapate hata uyo mama wa kumuomba ela na kumtukana ila hawana..heshmu heshma ya kuwa na mama mama asipo kwepo utajua thamani akeee.mtu akiwa na kitu haoni thamani ila kikiondka atatamani akipate hata kwa shdaa
2026-10-21 17:40:39
1
pendo ramadhani :
jamani Mimi sikatai gigy anachosema mama ananifanyia vituko hd watu wanashangaaa HP tu mwez wa kwanza nahama nilipo kisa nilimkalibisha mam nikamtibu alipopata nafuu akaanza pombe nilipomkataza aliondka akaenda kull Kwa mwenye nyumba akamwambia mi nasema ana mdm na mwanae ndo maana haolew nimefukuzwa alikuwa ananifanyia vituko hd baroz anamuitia kikao Cha wanakijiji anakimbia mtaan😔😔
2026-10-21 19:15:37
0
hamida Ezekiel :
pole sana imeniuma sana pole sana
2026-10-21 20:04:30
2
fequrial vee :
ASANTE MUNGU KWA KUNIPATIA MAMA BORA NA MWENYE UPENDO JUU YA WATOTO WAKE WOTE . BUT POLENI NYOTE MNAOPITIA MAUMIVU BUT ATA KAMA ALIMKOSEA ASINGE MUWEKA LIVE
2026-10-23 07:15:08
2
litha🥰 :
kwenye hii dunia sina mtu mhimu kwangu kama mama eee mungu nilindie kipenzi mama angu
2026-10-22 04:01:27
1
lidyajosefujacob :
mma ni mama tu amsamehe tu ila inauma sana pole dada gigi😭😭😭
2026-10-22 02:37:01
1
it's me 🖤 :
japo mkubwa hakosei lakini mama zetu wanajisahau sana kwenye malezi ya sisi watoto wao nina mengi yakuongea ila wazazi huwa wanajisahau sana na kuwaachia malezi kina bibi malezi maagumu ambay wanapitia watot ndo mana mapenzi ya mtoto kwa mama hakuna 😭😭
2026-10-21 19:11:09
4
mamuu back up :
ndugu zangu mama n mamaa tuu
2026-10-21 16:44:05
1
D mushi :
hamna kitu kinauma kama ukijuwa mama yako alikuwa hakutakii inaumizaa sanaa
2026-10-22 14:03:37
1
bby pozz :
mmi simo Mana izo sili zafamly
2026-10-21 13:08:00
2
vickymichael21 :
natamani sana mama yangu ungekuwa hai😭😭😭
2026-10-21 17:46:03
1
Dosna :
gogi acha izo mdogo wangu
2026-10-21 17:03:55
1
Mc jojokhaan events🎤 :
nimeumia moyo ad miguuu😪😪
2026-10-21 14:02:32
1
To see more videos from user @mkakamweus2, please go to the Tikwm
homepage.