@mohamedhafidh_tz: 🚀 Unahitaji kutuma ujumbe WhatsApp baadaye bila kusubiri muda huo? Sasa inawezekana! ⏰📲 WhatsApp ina feature ya 'Schedule Message' inayokuwezesha kupanga ujumbe utakaotumwa muda na tarehe utakazochagua. 🔥 💡 Fikiria unaweza kupanga ujumbe mapema na kuendelea na shughuli zako bila hofu ya kusahau kuutuma! 🎥 Tazama video hadi mwisho ujifunze inavyofanya kazi. Swali kwako: Umewahi kutamani WhatsApp iwe na feature hii? 👇🏽 #whatsapptips #teknolojia #TechTips #foryou #fypシ
bro ungefungua tu group lako la whatsapp au channel whatsapp
2026-10-21 20:46:17
2
SHEBY BOY :
niunge basi kwa group lko
2026-11-03 00:38:45
1
Abduli Ali :
mbona kwangu haikubali kaka
2026-10-25 11:24:20
1
Maxwell Machage :
Bro niliomba ufanye video kuhusu course ya Mobile Application Development.uelezee ni maeneo gani naweza kufanya kazi. plz
2026-10-21 21:16:35
2
KIZO🫵🫵 :
naomba unifuze jinsi ya kuntag mtu whasap
2026-10-29 20:49:59
1
innosgram :
Kwa iphone bado🥲
2026-10-21 19:36:42
1
أبو مُصَدِّق بن طاهر٢٧🇸🇦 :
je uo ujumbe utamfika ikiwa tarahe niliyo iset sipo online mimi
2026-11-01 21:08:33
1
imsya :
niingie
2026-10-21 12:54:50
1
Kingsman. :
ilikua kwenye google message
2026-10-22 04:01:35
1
MAhBOE! :
hata ukiwa offline Kwa hiyo siku usika?
2026-10-21 18:30:17
1
tinnah :
mbona kwangu aikubali au so kila cm
2026-11-05 18:45:34
0
ÀƁĎÜĹĶÏẒ̌Ẓ̌👑 :
mashallah
2026-10-21 15:13:00
1
TORO 5🫵 :
mbona mie kwangu imekataa kusety
2026-10-31 14:40:48
0
Mohamed Salim Al Jahdhamy :
Mbona ktk whatsap yangu haikubali hiyo?
2026-11-01 06:45:25
0
king yuzo :
je mfano nimeandika hvy halafu nikaziwa kama Data au wifi ss ile siku nilio kusudia imefika n mm sijafungua data wala wifi je hiyo sms itafika kweli au
2026-10-22 10:28:33
0
Dilara Bissness :
duuuh
2026-11-02 06:08:14
0
Ally Nendaka :
2026-10-31 12:20:47
0
Abduli Ali :
kweli kaka
2026-10-25 11:10:37
1
Hb omy :
xx ikiwa cku or mda huo hauna bundle itakuaje?
2026-10-22 10:50:08
0
Justice :
namimin naomboni ungekwa group lako tafazali
2026-11-06 08:18:22
0
BROWN MAUZO🙏 :
nifundishe iv uliv tokea kat kat ya maandishi
2026-10-31 10:43:38
0
ALYY🇹🇿 :
hiyo siyo mpya sema ww ulikuwa hujuwi tu
2026-10-22 09:12:55
1
PANTHER :
😳😳😳
2026-10-21 17:22:53
1
To see more videos from user @mohamedhafidh_tz, please go to the Tikwm
homepage.