@bulletking0724: Hili tukio limenigusa sana 🥺🥲 Nimekosa hta nguvu za kuendesh Gar.. Tumludie Mungu wetu jmn🙌

Bullet King
Bullet King
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 21 October 2026 12:28:22 GMT
90657
11584
538
512

Music

Download

Comments

dreezy..8025
🌵HUNCHO DE UZI 🌵 :
tableeh ♥️
2026-10-21 18:45:17
2
omariabdallaabdal
ch :
Allah Allah Allah [Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart]
2026-10-21 19:00:40
1
husayn_arif_official
Husayn Arif Official :
Hawa ni ndugu zetu kutoka Uganda, hivi sasa wanakwenda Kenya
2026-10-21 20:01:19
25
user1718614903284
chabi :
na wengine hao wanawatupa wake zao na watoto yumbani ukiwaomba chakula ,wanasema Allah Ataleta
2026-10-22 03:55:59
20
lilu.class
Lilu class :
maashaallah Kaz nzr saana hii ilinibadirish kutoka jikiwen na kuwa mswaliji swala 5
2026-10-21 17:22:20
104
mikago.supply
MIKAGO SUPPLY (STREET NGUMU111 :
ALLAH AWATIE NGUVU KWA KILA JAMBOO
2026-10-21 15:46:29
122
kimstar893
ßãßä n̈ä$hfäţ :
allah aqbar
2026-10-21 18:03:13
0
77abdinyawale
Abdi....... ☑️ :
Hao mashee nimewaona kiwangwa leo
2026-10-21 12:52:46
30
samih2727
SAMIH :
Tunakumbuka kupiga picha lkn tunasahau vitu muhimu ungekumbuka kuchukua contact zao tungewapatia mchango
2026-10-22 03:54:58
11
user21739683735844
💐 nasra 💐💕 :
mashallah Allah awajalie
2026-10-21 19:12:27
2
ziada5639
ziada :
MWENYEZI MUNGU AWALIPE KHERI INSHALLAH...!
2026-10-21 17:50:07
31
madodo.tz
𝑴𝑨𝑫𝑶𝑫𝑶 𝑻𝒁🇹🇿 :
Atukatai da'awa Yao lkn Kuna baadhi Yao wanaolingania dini wengi Awana HELIMU
2026-10-21 19:39:48
12
user81524803083745
win :
mashallaah
2026-10-22 01:24:28
1
shabanimsese
shabanimsese :
ukipata bahati wakikupigia dua hairudi patupu inajibiwa bila shaka kabisa wapo karibu sana na mungu waone hivohivo watu wanawazarau lakini acha kabisa
2026-10-21 16:49:40
32
user3022421028051
user3022421028051 :
Mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah Allah awajalie Firidaus
2026-10-21 20:10:10
5
husseinsaid481
ibnisaalim :
hao ndio tabligh bwana mungu awalipe malipo wanayostahili aamiin 🤲
2026-10-22 00:55:29
6
ctyamiry
ctyamiry :
Mungu atawalipa jazaa Yao inshallah 🙏
2026-10-21 17:48:36
11
user9161836138178
shakiru j matongo :
manshallah
2026-10-21 17:44:46
1
nemly888
nemly🤍💯 :
Yarrab wajaalie mwisho mwema
2026-10-21 17:54:08
7
shakurmakunganya
Shakur Makunganya :
duniani wapo wachache sana kama wao
2026-10-21 15:41:30
9
somallycute
💙Miss Chima💃 🥷 :
Allh atujaalie mwisho mwemaa atujaalie jannatulfirdaus inshallh 🤲pepo is not easy 😭😭😭
2026-10-21 18:44:26
14
user9971061025814
Ex Soldier-tz Tz :
chukuwa namba zao tuwanunulie pikipik hata kwa kuchanga changa umu mtandaoni
2026-10-21 21:14:55
0
rahmaally667
Rahma🌸💕 :
Mashaallah Mashaallah Allah awalipe kheri inshaallah 🙏❤️
2026-10-21 19:18:18
2
karimahemedihemed
msaka pepo :
Hawa hawaitaji pesa Hawa Wana itakaka Pepo namuomba mungu namimi namuomba mungu niwe mchamungu kama hawa
2026-10-22 07:53:06
1
mariammkangata
official mamu@tz😍😍 :
mashaallah
2026-10-21 18:23:04
4
To see more videos from user @bulletking0724, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About