waah, kazi iko kweli, imgn hao ni majini yao,, shida nii hawajui kama unapostingi, omba sana plz ju wakijua ujui kenye wateza fanya, pia tunakuombea sana Mungu azidi kuw nawe
2026-10-21 13:45:18
14
Jojo :
kwani hamuoni hii
2026-10-21 13:12:29
5
E_R_I_E_K :
whats this dear?
2026-10-21 12:56:51
1
Babyperis🍼😊❤️ :
sasa huwa unalala aje hauogopi🥺😭💔
2026-10-21 16:56:15
1
Euby :
tunakuombea mamaa,,,malza contract utatoka salama tu
2026-10-21 17:01:50
1
neema Simon mnaya :
hivi nn kinaendelea maana sielew mwemzenu wifi ilikata jaman
2026-10-21 18:19:12
1
Christina Mandala :
ndo mana me nikichoka kukaa tanzania naenda inchini mara hayo yote yatanikuta wap 😁😁😁
2026-10-21 20:18:29
0
rey917♥️🇹🇿🇲🇬💜🇰🇷 :
ila wew dada una moyo
2026-10-21 13:01:44
2
Ivonnetrends/0758315303 :
imajine this thing when iwas in saudi they were in my boss house but ukizoea nazo uko sawa they mean good luck prosperity and weath
2026-10-21 17:03:15
4
🌸🌸 it's json🌸❤️ :
Kwan vinaongea
2026-10-21 13:00:30
2
Mamitha :
Na wakijua umepost wanaesa kukufanya ukue jizi aki jieke tu Kwa maombi hapa bila maombi hautawesa dadangu usiwahi kosa kuomba hata kama umechoka kiasi gani omba dadangu omba haya nimajaribu makubwa sana na maombi ndo yatakueka huru hakuna lingine
2026-10-21 16:50:30
1
MathEngineer :
hizi ndio nini wadau?
2026-10-21 22:55:28
0
it's Betty🧿🪬 :
stills stuck on the warning "not responsible for injury or possible death"😳
2026-10-22 03:37:47
0
To see more videos from user @maliyakibe0, please go to the Tikwm
homepage.