Jaman tuwe makin Sana na vitu kama hivi , unaweza ukajikuta unaingia kwenye matatizo bila kutegemea na hii ndo shida ya sisi watanzania na inatuponza sana unakuta mtu yupo serious kabisa anasoma comment yangu badala aandike ya kwake.🥲
2026-10-21 19:38:48
1
khadija maganga👌👌👌 :
Siyo kila ki2 ujibu yaaan wee
2026-10-22 04:02:08
0
Malkia wa fursa 🇹🇿 :
Lakini kwani rais yeye anatoa umbea kichwani mwake?Si anaambiwa na uzuri wanaoletqga umbea mitandaoni ni watu wa karibu😂
2026-10-21 14:59:04
7
Burberry ~☆❤ :
lakini chido kasema urudishe bango lake🤣🤣🤣
2026-10-21 17:16:03
4
mlinah :
Kibomba kukaa kimya nd hawezagiii
2026-10-21 13:53:07
3
Nemsies255 :
Sijapenda lip combo yako.mkinichamba mnichambe kwa herufi kubwa
2026-10-21 17:12:00
3
Ms shadya vijora :
Yani nimjuaji sjapata kuona kila kitu aongee yeye kila kitu anajua yeye aaa kiukweli aache
2026-10-21 16:44:17
2
MattyKiss💜🦋💦🖤 :
lakn mbon wanasema hii post haimuhusu yy kwa sabb wanasema pia n kuhus dokt phill na akchwali 🙄🙄 Au m ndo sikuelewa hyo code 😂😂😂 Aya na kwan ww una detour!!
2026-10-21 18:20:39
0
Black Castor oil Og :
@Ms candace❤️❤️
2026-10-21 15:36:05
0
To see more videos from user @sasampaawaladynaa0, please go to the Tikwm
homepage.