ikiwa ulikuwa dunian wafanya mema bas utayakuta kaburin / cku ya hukumu km ulikuwa sio mwema pia utayakuta huko uendako Allah akuweke mahali panapo ctahili sote ninwa Allah na kwake tutareje polen wafiwa
2026-10-24 10:37:51
16
🍪 cookie ❤️🦚 :
vedio 3days ago 😳😳aya pole mwenetu
2026-10-24 19:21:41
6
Abu Muhsin Minani Abdoulllah :
pumzi inadanganya sana Allah atupe mwisho mwema
2026-10-26 14:13:11
5
firstborn❤️🫦 :
alieniambia nifute vedio zangu mungu akueke wallah asante kwa kuniepusha na hali hii
2026-10-24 17:36:48
42
Twister gwal :
pumzi zinatudanganya Mungu atupe mwisho mwenye namungu amsamehe dhambi zake
2026-10-24 16:38:07
15
Samantha kem :
RIP sister yangu siamini umetuaja 😭😭😭💔 💔💔💔💔
2026-10-23 08:18:11
12
user3489914240230 :
mungu wangu hii nyimbo si ya juzi kumbe hiziraili yuwamcheki tu
2026-10-24 16:00:11
15
GUMBOGAN GUMBOVI'C :
wesio mwema kweli😜
2026-10-28 00:16:26
1
Momo tz🇹🇿 :
anazikwa leo akii [Innocent][Innocent]
2026-10-24 10:36:13
0
Double -Y-collection :
Hakuna mkamilifu Ila huku ni funzo kwetu sote turudini kwa Allah
2026-10-25 05:17:14
9
mtoto wabibi :
nimependa ziwa hilo maashaalah nimelipenda
2026-10-22 18:59:54
2
@Rahmal50 :
tulokuja kumuangalia marehem turudini jmn huku tukijuwa na ss ipo siku tutakufa[Pleading][Pleading]
2026-10-25 15:55:42
4
Babie sakina🦋 :
jmn amefarik kwel au😳
2026-10-25 22:09:57
0
🇰🇪poline mwene 🌹⚘️🔥 :
ni huyu amekufa au nimepotea wakuu😳😳😳
2026-10-25 20:07:05
0
Nasrat22🌙 :
me ndo kwanza namuona na ninaangalia video zak ndugu zangu tusijisahau kbsa pumzi sio zetu hizii
2026-10-25 14:48:26
4
zeybeb swahili dishes :
mpka nimeogopa mm jamani
2026-10-25 05:39:05
4
🆕️CR NICE♻️ :
daah mungu anatisha na hajali kweny maamuzi yake
2026-10-26 14:34:49
2
🎀🦋Miss sadi🎀🦋 :
mungu akupunguzia azabu za kabri
2026-10-25 17:37:23
1
Mohanoor :
Ndugu zangu tumuombeeni tu Dua ALLAH amsamehe Dhambi zake na Atupe na sisi mwisho mwema..lkni kusema eti videos zake zifutwe hio haitasaidia sai already zimefika almost Dunia nzima
2026-10-24 19:26:42
4
Lovers toto :
my 🥰
2026-10-25 17:01:56
1
True_Boe_🫵🫵 :
kumbe Ngoma hii aliwahi 😳😳
2026-10-26 12:36:45
1
To see more videos from user @qathra39, please go to the Tikwm
homepage.