@jambotv_: Mshambuliaji wa Klabu ya Simba Ibrahim Doumbia ameingia kambani kwenye mchezo wa ligi ya Mabingwa Afrika katika mchezo dhidi ya 15 de Agosto katika uwanja wa uhuru. Mashabiki wa Simba wameibua shangwe hapa katika viwanja vya Mwembe Yanga baada ya bao la Ibrahim Doumbia.

Jambo TV
Jambo TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 21 October 2026 13:38:23 GMT
62494
4499
96
103

Music

Download

Comments

user4437383815508
Moka Tz :
kuanzia leo naitwa DOUMBIA na staki kuhulizwa maswali nina dozi🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂
2026-10-21 14:36:47
36
user8874422524583
siah mshobozi :
Doumbia 2simba 4
2026-10-21 14:21:02
3
chriss.nova
chriss nova :
Denzel doumbia
2026-10-21 14:33:10
1
samwelistephano03
B.l.G.Sam🔥💪🔥 :
nashangaa kumwona mwanasimba anapita bila kulike
2026-10-21 14:22:34
35
jfa.trades7
Ngahatilwa Frank :
leo sherehe sio simba kushinda ni doumbia kufunga
2026-10-21 13:49:08
45
neema.j.wandela
Neema j wandela :
doumbia weweeeeee
2026-10-21 15:27:05
0
biibabybiistarr
💕🦋Biibaby🦋💕 :
Magoli ya doumbia yawe kweny screen😁😁
2026-10-21 14:22:59
19
mamy.mu06
@Mamy Mu :
waoooo🥰🥰
2026-10-21 15:14:46
0
deborah.renatus2
Deborah Renatus :
loveeee
2026-10-21 14:18:40
0
zubeir.bin.auwam
zubeir bin auwam :
pongezi ziende kwa DINZEL TRAINER
2026-10-21 14:53:44
4
elon_succa
Elly vex💵 :
huu msimu watadhalilika sio poa
2026-10-21 14:22:03
7
g_graphics1
G_Graphics :
tuseme nn Sisi tulioibiwa sele kambini 🤣🤣🤣🤣
2026-10-21 14:25:56
10
aniceti.njigula
𝒶𝓃𝒾𝓈ℯ𝓉𝒾 𝓃𝒿𝒾ℊ𝓊𝓁𝒶 :
waliomkataa ndio haohao leo wanaona aibu
2026-10-21 14:29:16
3
benedictorjames364
b smart 🤓 :
jmn hii Simba Sasa itatuuwa Kwa Raha kila siku Simba Ni Shelehe tuu
2026-10-21 14:47:01
1
official_jsm1
Miss Carolyn ♥️ :
tatizo watu walimkatia doumbia tamaa mapema mno wakasahau jina lake ni Ibrahim kumaanisha baba wa imani
2026-10-21 15:07:19
1
user377818631878
Mkalingacom :
Hakika usimkatie tamaa mwanaume anayetafuta ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-10-21 14:25:10
2
user51490576525308
Daniel The Great :
mechi ya marudiano icheze simba B alaf pale mbele wamuache doumbia pekeake anamaliza kazi 🦁🦁🦁 🔥🔥🔥
2026-10-21 14:23:35
2
ligard075
lingard075 :
kwahio mmeamua kuwaachia game kule
2026-10-21 14:42:03
1
rebeca.mhando
REBECA Mhando :
iyo lini iyoooo
2026-10-21 14:49:59
0
rosmaryvai
rosmary Vai :
dumbia jamani Leo lazima tumpe ela ya soda
2026-10-21 15:41:27
0
ukhty.zuuh.saidi
Ukhty Zuuh Saidi :
wow
2026-10-21 17:29:54
0
user8763585616265
user8763585616265 :
kwema mana nilikua jela ndo naingia mjin [Tears of joy][Tears of joy] naon pamoto
2026-10-21 16:51:51
0
lissalissayusuphu
Da lissa :
watasema sio doumbia alie funga watasema ni IA hiyo
2026-10-21 16:49:18
0
babytz03
mrs Doumbia 🦁♥️🔵 🇹🇿 :
watu weweeeeeee
2026-10-21 15:42:56
1
user99728760937985
matilda :
❤️❤️❤️❤️❤️dawa zimeoza
2026-10-21 16:44:03
0
To see more videos from user @jambotv_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About