@it_promax: waziri kitwana kaguswa na Jambo kubwa la ongezeko la Mshahara #billywhite_commando #zanzibar🇹🇿 #hayabanabaadae #billy_white_commando #billy_white_commando

I.T PROMAX
I.T PROMAX
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 21 October 2026 13:45:13 GMT
30578
1191
203
105

Music

Download

Comments

babupolithii
babu polithi :
hahahahahhahaaaaaaaaaa
2026-10-23 06:49:52
0
abdul.tour2
abdul9 :
Nadhuma pia mziseme anazozifanya pia Allah atamlipa anachostahiki kwa dhulma zake IshaAllah
2026-10-21 16:23:14
11
rehema.ameir
Unavo taka nataka🤐 :
sie tusona kazi🤐🤐🤐
2026-10-21 17:07:35
0
user2580458824903
MWENYE BUSARA :
ahadi ya ajira bado lakini
2026-10-21 17:23:06
5
thamrati
thamrati :
Mwamba
2026-10-21 13:57:57
2
marash736
MARASH :
msha hara laki 5 matumizi zaidi ya laki 5 kwa ughali wamahitaji
2026-10-21 17:56:31
2
imaraboe
Imara boe :
kumbe wao wanaguswa mishahara ikizidi half wakitoka apo waje watuambie tujiajiri
2026-10-21 17:18:18
5
mtabe32
mtabe :
Wameongezewa wao mimi nna masters na mahahara nimeongezewa 4000 tu
2026-10-21 17:20:53
2
fabolizomafyonso
Fabolizo Mafyonso :
Laki tano bado pesa ndogo sana kwahadhi ya Mzanzibar Duniani na hali ya maisha ilivo saivi kisiwani angalieni mlo wa kutwa tu saivi raia inamugharimu 30000 kajibana 20000 apo ndio eti milo mitatu ukizingatia makodi makubwa waliobandikwa wanaNchi na mafaini yanayoumiza barabaran raia wanyonge wanadhalilika Nchi hii.
2026-10-21 18:22:13
3
shidi282
RASHID ZAINBAR 😋 :
mheshimiwa ninyi mnaongezewa mishahara ila sisi wananchi anatuumiza sana rais kwa sababu huku njiani barabarani tunanyanyasiwa sana na askari hata kam
2026-10-22 02:57:01
1
abdallaameir
ABDULLAH :
kwa kweli znz kulipa wafanyakazi laki 5 bado sio jambo la kujifia Zanzibar walitakiwa Kila mwananchi ndio apewe hio laki 5 znz wananchi wote ni M2 waajiriwa znz mzima HAWAWEZI kufika laki 2
2026-10-21 16:38:22
2
shabari433
Hamis Masud :
mm nafkiria umeguswa ajira zitoke kwa vijana kumbe umeguswa na mshahara kuzidishwa boss wangu
2026-10-21 20:17:34
2
user9396121132690
ladyhoney :
muheshimiwa mshahara wa Zanzibar ni mdogo sana ukilinganisha na bara kwa mwenye imani ataongeza tu Allah amzidishie imani na umri mrefu.
2026-10-21 18:12:47
1
kulty44
kulty :
ameen na ww pia Allah akupe kheri duniani na akhera ameen
2026-10-21 16:19:16
5
binsalim092
binsalim :
mshahara umeongezek na ss walala hoi munatubana huku mtaan daah hatar waajiriwa wanafurahi waliojiajir wanalia
2026-10-22 02:42:01
3
yuzarsif0775
yuzarsif0775 :
ila muheshmiwa sisi wananchi wa chini tuna maisha magumuu mnoo sanaa tusio na mshahara mnatuangalia vipi
2026-10-21 18:40:23
0
user9728715310159
33334444 :
kweli abarikiwe
2026-10-22 06:47:37
0
amemahmoud768
Ame Mahmoud :
mishahara inapanda na maisha yanazidi kua magumu tatizo nini tusiwe wajinga
2026-10-22 03:53:56
2
mwana.mussa
Mwana Mussa :
bas na ajira za madaktar zitoke tena miaka ming wtt wanahangaika na ajira mh,tunakuomba
2026-10-22 04:16:22
2
user8342116113619
0mar bare :
Acha cifa mkuu
2026-10-22 03:12:04
2
lujay40
lujay :
raisi kafanya jamboo mwaka huu
2026-10-21 21:59:24
2
tuma357
Princess Tuma.... :
wengine tumepunguziwa na elimu tulionayo umesoma kwa shida na garama tunapitwa na muhudumu😢
2026-10-22 02:27:18
2
user4186177245948
user4186177245948 :
kwa wenye kupokea mshahara nisawa inawapasa kushukuru sana tusio kazi za kupokea mshahara tusiache kumshukuru mungu kwa kila hali
2026-10-21 19:44:57
0
bakarihamad567
ابو عبدالرحمن :
kuna watu wameengezewa elf 2 wengine elf 3 eti kisa ni wapya kwenye kazi
2026-10-22 10:08:57
0
binrashid_alnofly
Billgates :
pesa za faini 😅😂
2026-10-21 19:54:05
1
To see more videos from user @it_promax, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About