@taimediatz: #MICHEZO Mchezaji wa Simba, Ibrahim Doumbia, aandika historia mpya ya kufunga kwa Mara ya kwanza tangu kujiunga na Klabu hiyo ambapo amefunga mabao mawili katika kipindi cha pili cha mchezo dhidi ya De Agosto. Credit Azamtv ✍🏿 @mariamshabanitz #taimediatz #taimediatv

taimediatz
taimediatz
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 21 October 2026 13:52:35 GMT
104989
9053
214
390

Music

Download

Comments

samwelistephano03
B.l.G.Sam🔥💪🔥 :
nashangaa kumwona mwanasimba anapita bila kulike
2026-10-21 14:26:49
234
lucianapeter530
kipepeo baby :
vibe to
2026-10-21 15:57:59
0
asiaaa5683
asiaaa :
weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
2026-10-21 16:27:28
0
zenachiya1
it's Doris 💞 :
namtafuta @key mziwanda jaman ndoa tunayo ama hatunaaa😂😂😅😅😅😅😅
2026-10-21 14:35:58
32
mkude362
MKUDE :
TUNAO MKUBALI IBRAHIM DOUMBIA TUJUANE HAPA SIMBA NGUVU MOJA
2026-10-21 14:04:51
135
divine_lee14
divine_lee36 :
siwezi ishi bila doumbia[Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-21 14:30:35
6
ramadhanikayanda5
Ramadhani Kayanda fact :
DEZDEL Treina doumbia sc ongera kamanda
2026-10-21 14:32:22
20
rachel_kileo02
Ray💕 :
Tukae tayari kwa eninyo Kama dumbia kafunga 😅
2026-10-21 14:41:35
33
charles.adrof
Charlz Constantine 🇿🇦🇿🇦 :
Doumbia day 😂😂😂
2026-10-21 14:42:53
8
live4553
💫⭐li❤️‍🔥ve✨💓 :
dumbiyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa❤️❤️❤️❤️❤️
2026-10-21 14:32:41
5
anethjackson2
anethjackson2 :
nimefurahia san walimsema san
2026-10-21 14:52:14
7
graceous97
graceous :
hiyo lin hiyoooooo
2026-10-21 14:39:03
0
jacklinisositenes
jakil :
doumbia ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🤛🤛🤛
2026-10-21 15:17:55
3
pistonworks
Ivan mechanic🔧🛠⚙️🏋‍♀️ :
Hiyo leo hiyooooo
2026-10-21 15:18:13
1
miss.happy167
miss happy :
Ila mimi ni yanga ila nimefurahi doumbia kufunga🫡🫡
2026-10-21 14:38:55
15
gee54185
gee💗💗❤️ :
tumefurah bhanaaa
2026-10-21 15:02:23
3
iammarkyalbert
Ms. Marky ❤️ :
Doumbia ametupa raha hapa sisi mashabiki wa yanga 😂😂😂
2026-10-21 14:00:40
13
blasdaelia
Mumy [email protected]🥰🥰 :
tunayo na ninatamba
2026-10-21 15:00:44
3
daawah_salafi12
DA'AWAH :
Apo kuna Mambo aya ✌️
2026-10-21 14:47:16
6
arone.nzalia
Arone Nzalia :
ongera bwana brother😁😁
2026-10-21 15:15:57
2
user5793315488627
willy :
mimi raha niliyonayo ni hatr mtu usimkatie tamaa
2026-10-21 15:19:21
2
stamili.doma
Stamili Doma :
Kila kitu mtangulize mungu Asante hatimae amepata magoli 2
2026-10-21 15:03:24
3
preciousnairat
Daddie's Daughter🤍 :
Leo nina Raha Sanaa Aisee 🥹🙌
2026-10-21 14:57:49
3
user4707743855709
user4707743855709 :
mmmmh
2026-10-21 15:12:44
1
bbyjey8
bbyjey❤️ :
iyoooo liniii iyoooo😅🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳
2026-10-21 15:12:41
4
To see more videos from user @taimediatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About