@ligizetu: GOLI LA THAMANI KUTOKA KWA IBRAHIM DOUMBIA UKIPENDA MUITE OSIMHEN WA UNYAMANI 🔥⚽️ Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu Ibrahim Doumbia amefunga goli lake la kwanza akiwa na kikosi cha Simba SC na sio goli tu bali ni goli la viwango lenye hadhi za kimataifa. IBRAHIM DOUMBIA HAS ARRIVED ⚽️ #ligizetu #simbasc #cafchampionsleague