@chandolaptops: Kwa mara ya kwanza namuona fred amekuwa mpole na msikivu🤣🤣🙌@iqram_zil0w Setup by @BT Decor #kenyantiktok🇰🇪 #rwandatiktok🇷🇼 #ugandatiktok #southafricatiktok🇿🇦 #tanzaniantiktok🇹🇿

CHANDO LAPTOPS
CHANDO LAPTOPS
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 21 October 2026 14:23:25 GMT
72580
5636
326
58

Music

Download

Comments

exquisite320
🤍🌚🌸 :
kwan huyu ndo yule dad aliemfanyia surprise kule kweny kighorofa au huyu mwingine jmn mbn sielew
2026-10-21 14:30:08
20
miss..ester.com5
@miss. ester.com5 :
yan mimi mna nikera sjw niongee kwaku simama au kwakukaaa wadada emu tuache kujiaibisha tuna jirahisisha sana. kwan akuna sehemu ya recording coz nachoka ku type....😏
2026-10-21 14:36:11
65
renny0413
🌸🦋 𝓡𝓮𝓷𝓷𝓲𝓮 :
From Litto to Litu 😂😂 😂 Ila hii gender hatariiiiii
2026-10-21 17:05:16
0
user2058191257965
nicole :
hapo Kuna mambo Aya✌️
2026-10-21 14:37:43
8
user5505140461685
@promax✨ :
muda umefika sasa wa kutongozwa Sina haraka 😂
2026-10-21 16:06:00
5
shakx67
Jacky samwely :
akitoka uyo naomba nifate mimi Nadhan miniko vizur kwenyekutongoza
2026-10-21 16:46:33
5
immaculate_81
immaculate_ :
mnipe na mimi iyo confidence jamani nimtokee kiijana fulan[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-21 15:56:29
0
fatuma.ally129
Fetty me :
chando unatukqt posti bwn
2026-10-21 18:56:53
0
gyllencecute
favour :
niko hap huyo binti akikubalika
2026-10-21 14:30:13
10
user16218414768243
Sakis tz :
Wadada siku izi tunatongozaaaaa apanaaa bhana duniaaa imekufaaaa😂😂😂😭
2026-10-21 15:17:15
6
judith_jericho
J.store :
yaani kwanini umtongoze mwanaume ila sisi wanawake
2026-10-21 15:05:00
13
moonlight1593
taty :
kwahyo mwanetu ww ndo unatongoza[Innocent][Tears of joy]
2026-10-21 14:41:21
13
rey329465
Rey :
familia who familia which familia where!????
2026-10-21 15:29:56
0
anithakinanda04gmail.com
fety🖤🩶🇹🇿👸 :
saivi walles kaachwa tupo na Fredy haya tuone mwisho wake
2026-10-21 14:40:58
16
neyliousmaurice
Neylicious :
hii sio content
2026-10-21 18:15:56
0
mrs60611
wittie❤️❤️ :
a few minutes ago 🤣Niko pale nasubiri kitakacho tokea
2026-10-21 14:42:23
0
dalalimwanamke5
DALALI KIM GOBA :
Afu chando unapost kidogo kidogo mno Ongeza speeed basii😂😂
2026-10-21 14:38:58
8
eagles0107
Nangu :
Kaka hupendwi Ila unahurumiwa tafuta tu mwenyw ndugu ila utapata unachotaka
2026-10-21 14:56:33
5
loyce493
loycesamson555 :
huyo hapana Bora hata wa kwanza mmh Kuna wizi hapo!
2026-10-21 14:45:01
7
nyika__jr
NYIKA JR :
unajua nacheka kwanini
2026-10-21 15:59:11
2
drmwenche125
Mwenche Jr :
LITU huyu toka Mr right anatafta mme Hadi leo tu 😂😂😂😂😂😂😂
2026-10-21 15:36:09
3
edison.maenje
Edison Maenje :
Tulianza na yule jamaa anapandisha wadada live wanajimaliza mwamba haongei chochote now tumekuja hapa mwendo wa kujimaliza live tuliaanza taratibu now pamechangamka wanangu tusiwe na haraka ule mda wa Bible umefika wadada wanatutongoza wenyewe sote tutafikiwa
2026-10-21 14:50:21
0
maria.k67874
maria k :
kaka kuwa makini ,kuna mda usimuamimi mtu kirahisi
2026-10-21 14:32:48
4
lysbi5
Sarah Sarah :
hawawote wanafanyia hivi kwasababu ya pesatu hakuna kingine kakangu
2026-10-21 18:06:18
1
To see more videos from user @chandolaptops, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About