A highly exciting and explosive moment for a trainer, Denzel who always dedicating to fully support player into winning ! Muacheni Denzel please!
2026-10-21 15:14:57
2
Olise Simoni :
kaka umetisha sana kwama fuzo yako tunao sema katisha tujuane
2026-10-21 15:31:56
7
Elia Munga :
big up
2026-10-21 15:10:36
3
meshabui :
asante
2026-10-21 15:54:51
0
Zaradu Frank :
safi sana doumbiaaaaaaaaaaa
2026-10-21 15:27:44
3
Abel Mussa Ba Mdogo :
Sa Kwanini Wanamzuia? Wanakosea Sana wamuache bwana He is A Coach like orther coarch
2026-10-21 16:49:42
1
Gaucho Banunu :
daaaah nzuri Sana nimependa
2026-10-21 15:25:57
2
kc :
yupo sahihi wamwache bana trainer wake
2026-10-21 14:51:14
4
Ngekewa Mzeebaba💦 :
2026-10-21 17:34:57
0
magreth Maliseli :
nimeria kwakwer so kwaupendo huu
2026-10-21 16:16:43
0
menonaty :
jamani hadi nimelia kwa furaha niliyonayo,, kweli kukata tamaa mwiko.
2026-10-21 17:53:06
0
Khalfan decoration :
imani ni kila k2 asee
2026-10-21 16:06:03
0
meshabui :
yan mm yanga ila utafikili nmefulai🥰
2026-10-21 15:55:26
0
smartboy_mesbeats :
kaka hapo ume zingua hapo ilitakiwa dumbia akukimbilie yeye seyo wewe uwanze kumlili maana yake haoni kile ulicho kifanya kwake kilikuwa nikikubwa sana lakini hakumbuki nahao ndio binadamu sasa
2026-10-21 16:13:59
0
INTROVERT :
NILICHO GUNDUA DENZEL ALIMJENGEA CONFIDENCE DUMBIA KITU AMBACHO PENGINE KATIKA MAZOEZI YA KIKOSI ALIKOSA HIYO CONFIDENCE
2026-10-21 15:41:05
2
#@queen 🇹🇿sakaya💝 :
fuulraha ya Simba sio kufunga noonni goliii Moja tuuuu la dumbiaaaa🤣🤣🤣
2026-10-21 15:59:25
0
ochu_urimbo :
doumbia limekimbiza miguu likasema kulikoni tena
2026-10-21 18:07:54
0
Maro Michael F :
Ni kweli Alisema akifanyanae mazoezi lazima afunge
Na kweli imekua
2026-10-21 15:40:56
0
Matendo Bundala :
Allah wakubar mtusalie mtume Mohamed inshai, Allah amemubarik na atakuwa Moto,dewji mpe mitano tena Simba Arusha it mashoga Linda mgongo(YANGA) hali ni mbaya
2026-10-21 15:57:54
0
Mtumishi Paul Mwijage :
sasa mwambieni Denzel aache miemuko ataharibu...
kila jambo lina utaratibu wake...
usifanye mambo kwa kuwa ushaakuwa na watu maharufu kwa kuwatrain ,unaeza jua unatengeneza kujulikana kumbe unaharibu...
ni ushauri wangu tu...
HEKIMA inahitajika..
2026-10-21 15:47:30
0
DAUDYHashim :
😁😁😁
2026-10-21 15:17:51
1
PIRAT0.☠️ :
[Big LOL][Big LOL][Big LOL]
2026-10-21 16:21:45
0
To see more videos from user @auledymdud, please go to the Tikwm
homepage.