@datamediatv: DOUMBIA AJISAFISHA 🔥 ⚽ Tazama goli lake la kwanza akiwa ndani ya kikosi cha Simba, baada ya kelele nyingi sana hatimaye aonesha UWEZO wake wa kufunga magoli kwenye mechi ya kimataifa iliyoisha 6-1, Mnyama akiondoka na alama zote tatu. #fcdeagostovssimba #Doumbia #Simbasc #magoliyadoumbia #goliladoumbia