@mens.health.solut81: Je, unajua tezi dume ni kiungo muhimu katika mfumo wa uzazi wa mwanaume? Tezi dume inapovimba au kupata matatizo mengine, inaweza kusababisha dalili kama: 1.Kukojoa mara kwa mara, hasa usiku. 2.Mkojo kutoka kwa shida au kwa mkondo dhaifu. 3.Kuhisi kibofu hakijaisha mkojo baada ya kukojoa. 4.Maumivu wakati wa kukojoa au maumivu katika nyonga.#fyp #usa #kenyantiktok #viralvideo #afya.