@tuzoonline: Furaha ya Denzel baada ya kumpa mazoezi Doumbia na kutupia goli mbili Leo Video Nzima Tayari Ipo YouTube Kwenye Channel Yetu Tuzo Online Bonyeza Link Kwenye Bio Yetu Kutazama #wajombalife #wajombatotheworld #tuzoonlinetunakupaunachostahili

Tuzo Online
Tuzo Online
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 21 October 2026 14:59:10 GMT
101326
8735
55
38

Music

Download

Comments

_philmey
ice bar :
tushaanzisha promo ya kumleta kwenye timu
2026-10-21 15:44:38
28
tmogam
SalvaYalha :
YESU NI MUNGU
2026-10-21 15:42:53
15
billionaire_dittan
DITTAN STORE :
wamchukue tu simba zendel awe fitness coach 🔥🔥🔥
2026-10-21 15:33:28
5
trevor8595
Trevor :
me mwenyew saiv nikichapa bao mbili nachoka sijui niende kwa trainer wa Doumbia 😂😂
2026-10-21 15:47:31
6
khamisibinamu
Binamu dread locks :
huyu Dizeiner kitambo alikuwa ana deal na wachezaji wa Yanga, kwa sasa Yanga imechunda kakimbilia Simba😂😂😂
2026-10-21 16:01:16
5
sakaya_06
#@queen 🇹🇿sakaya💝 :
Denzel na mm nitakuja
2026-10-21 15:28:17
8
user86685799998841
mpambanaji :
Hongera sana Denzel
2026-10-21 15:06:08
9
kelvny24
[email protected] :
Ni upendo wa hali ya juu sana huo mtu mpk anajisikia kulia kweli jamani
2026-10-21 21:08:42
0
user9259695122006
Mohamed Said :
selema amepitwa na dombia
2026-10-21 15:57:19
1
jose_magari
Jose Magari Tz :
tisha sana kk
2026-10-21 21:00:00
0
boqa.xmart
🫲🫱💥💤kaka wa bonqo💣💣💯 :
2026-10-21 15:38:22
1
shabanifadhili951
Shabani Fadhili :
uwakika
2026-10-21 19:57:00
0
richarddaudi8
Richard daudi :
sa mkipeleka timu nzima s wapinzani hawataleta timu
2026-10-21 17:18:11
0
salumu.issa5
Salumu Issa :
Hatar na Nusu💯💯
2026-10-21 16:57:16
0
agnessnkugwe
Agness Nkugwe :
Asante Mungu
2026-10-21 16:57:14
0
francisfidelis796
Arsenal fans :
Naaam ameflaaa😂😂😂
2026-10-21 17:02:26
0
awinda.www.com1
Amanizo ßoy🫵✌️ :
huyu apewee kazi ya kuwa train wachezaji w simbaaa
2026-10-21 16:43:59
0
jay.kuda7
JAY KUDA🦁🦁🦁 :
oura na benzi wako ndugu
2026-10-21 16:14:04
0
chimmdachi
Chimmdachi :
Jamaa alindwe na apewe nafasi awe msaidizi wa Xavi
2026-10-21 21:41:45
0
mkthedeejay
Micky The One :
noma
2026-10-21 16:27:22
0
hafidhidadi
Dogo noma :
Afualisema
2026-10-21 16:11:41
0
khamaly00
kham :
huyu sasa ndo mwalim 😅😅😅haswa kwa dumbia
2026-10-21 15:25:57
1
maulidjonas730
Kapwacha :
kwani simba uwezo wa kumlipa huyo jamaa akawa fitinas coach haupo jamani mpeni kazi utufulie vijana
2026-10-21 17:09:44
0
user1635728590141
user1635728590141 :
hamna lolote wamekutana na wagonjwa
2026-10-21 17:16:23
0
mukismar
muki $mãrt✌️💯 :
tumpe nafas awe kocha wa viungo msimbaz
2026-10-21 17:45:12
0
To see more videos from user @tuzoonline, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About