Had nimetamani lia wallah
Allah atufanyie wepes kweny subra zetu
2026-10-21 16:13:40
28
Kunambi Nguya :
tumswalie mtume
2026-10-22 04:17:25
8
better thanks :
nilichojifunza
1. dombia alihitaji umakini tu katika uchezaji wake bc .. na ndo ki2 alichoenda kufundishwa .
2. subra ina matokeo mazury
2026-10-21 17:28:37
15
brother jau :
daaah maisha alioyapitia doumbia kweny mpira na mm nimepitia kweny maisha ya mtaa ila sikukata tamaa had leo mungu n mwema nipo apa nilipo siamini hakika subra ndo kila kitu katk maisha
2026-10-22 06:17:51
4
Jey Love :
dooooh
2026-10-21 16:23:19
0
🇹🇿🌴@Obby🙉🙈 :
kweny hii duniaa Ina bidi unamtafute mtu ambayee Ana Iman na wew akakupa Iman Kam ilivyoo kwa doumbiaa kwa Denzel trainel arivyoo Iman ndo yare tuna ludi kwa msa na fimbo yake
2026-10-21 19:07:41
5
cholo brown :
mh subra ya dumbia sie mashabiki ndio tushkuru kumvumilia
2026-10-22 03:26:20
1
manager_imu :
Sio Sisi ni ALLAH
2026-10-21 15:51:40
4
madam T😘 :
daaah hakika nifraha sana alhamdullah wakat wa Allah ni wakati sahihi
2026-10-21 20:50:17
2
👑Official king Meshack💫🇹🇿 :
song name plz
2026-10-21 17:53:21
3
Hudhaifa __10 :
الليل مهما طال فلا بد من طلوع الفجر
2026-10-22 00:50:38
1
LACOSTE 🐊 :
Jina la movie ni subrah
2026-10-21 17:13:52
2
S. Sakilo :
Katika maisha ukitaka ufike mbali katika malengo yako. Omba Mungu sana upate wa kukushika mkono kama Dumbia. Yaani hata ukosee vipi bado watu wawe na imani na wewe tu. Hapo utafika mbali. DUMBIA MILANGO YAKO NA IWE WAZI ZAIDI KUENDELEA KUFANIKIWA UWANJANI