@free.your.soul_: Wakati mwingine, unachohitaji si nafasi nyingine, si watu kukuamini, wala si kujitetea kwa kila mtu… Unachohitaji ni NEEMA YA MUNGU. 🙏🏽 Neema ikikufikia, hata kile kilichoonekana hakiwezekani kinaweza kuwa mwanzo wa ushuhuda wako. ❤️🌿#FreeYourSoul #TanzaniaTikTok #fypシ #fyppppppppppppppppppppppp #viral