@alfatah.tv: Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar Mh. Dkt Hussein Ali Mwinyi amefanya hafla ya kuwapongeza wanafunzi waliofanikiwa kupata ufaulu wa daraja la kwanza kidato cha nne na cha sita kwa mwaka 2024, 2025 na 2026 katika viwanja vya Ikulu Zanzibar. Hafla hii ni chachu ya kuwasukuma wanafunzi kujituma zaidi katika masomo yao. #SMZ #zanzibar #ELIMU

AL FATAH TV ONLINE
AL FATAH TV ONLINE
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 21 October 2026 15:37:52 GMT
18505
732
11
35

Music

Download

Comments

user52545375304997
Young -brave @234 :
we did it finally
2026-10-21 16:35:11
1
farasimweupe06
farasi mweupe 06 :
Hapa shule ya muwanda ipo apa
2026-10-21 15:59:06
1
sabrasuleiman5
sabrasuleiman5 :
unguja ndo wapi
2026-10-22 01:04:40
0
user6199971766222
user6199971766222 :
Hongera sana mheshimiwa Rais kwa utekelezaji mzuri wa ilani ya chama cha mapinduzi kwa kweli hakuna kama dr mwinyi
2026-10-21 16:41:58
1
faanheenah
Faan heenah😘 :
mashaallah
2026-10-21 18:30:46
0
mohd.mohd1760
Mohd Mohd :
Asante nimekubali kaz
2026-10-21 17:52:59
0
user4488328057195
pretty girl 👧 :
yana ndugiang sjui alijificha wapi🤣🤣🤣
2026-10-21 16:46:50
0
abuu4077
Abuu :
🥰🥰🥰
2026-10-21 18:45:17
1
ryermygul009
الريامية🦋💤 :
❤️
2026-10-21 17:37:22
0
na3ma__11
na3ma__11 :
🥰🥰🥰
2026-10-21 17:40:58
0
To see more videos from user @alfatah.tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About