njia ya kwenda kwa Mzee filipo mmari, Babu yangu jamani, mama yangu amezikwa hapo makaburi ya usharika alikuwa anaitwa Greece filipo... mjimba wangu nae alikuwa Mwenyekiti wa Kijiji Cha kyuu Zakaria filipo mmari.... mtoto wa filipo anakaa dar kamaliza ndugu zake kwa ushirikina jamani kaniulia mpaka mama yangu dar uwiiiiiiiii naumia mm jamni kuona kyuuu endelea kupumzika kwa amani mama ipo siku tutaonana😭😭😭😭😭😭😭
2026-10-22 10:34:06
4
rossy🌹🌹 :
nimekwmabiaa huendee msaranganiii hutakii adi niliee au 😅
2026-10-22 07:01:51
6
missTaynna :
Naomba pita pale isuki na kanisa la KKKT NGAYA
2026-10-22 16:37:13
8
Dada wa laundry ♥️ :
Yaani mpaka nimefurahi kanisa letu mbona ujaenda kwetu apo shuleni
2026-10-24 20:14:01
2
Nelly Brown :
nilishaabud hap mwak mpya huu jmn kyuuu
2026-10-23 16:55:39
3
Tof@ w@y@, :
nimemisi Kieri KKKT home is home
2026-10-21 22:17:56
0
roger :
what a beautiful church,aisee ,Mungu bariki walio jenga
2026-10-22 08:45:26
0
Jamson Haruna :
naribeda kanisa rang kkk
2026-11-09 16:11:04
0
Munuo Tz🇹🇿 :
Home
2026-10-22 12:35:42
0
Joshua Filex :
kanisa la Munguamae mkuu
2026-10-21 16:36:11
6
sweet manka🥰 :
kitambo sana nimekumbuka mbaliii mwenyez Mungu akuweke🙏🙏
2026-10-22 06:08:58
3
its rammy@ :
hapaa ni kkkt wp jmn
2026-10-22 18:49:47
1
JJprine0 :
ukiwa unatoka kyuu kuelekea tengwa
2026-10-22 11:12:54
2
Youngrich Kileo :
nyumbani🥰
2026-10-22 13:56:02
2
lizy underwear :
KANISA LA NKWANSIRA
2026-10-22 11:27:18
0
user2924487117516 :
nenda na kkkt usharika wa hai mjini nilipata kipaimara hapo upite na Mungushi nipaone tena maembe nyira mbuhu maimbeny
2026-10-24 19:09:48
2
amastarnaturalcosmetics :
Moshi ni kusafiiiiii jamani 🥰👌
2026-10-28 07:04:15
1
herodi duma :
Moshi kuzuri kwa kweli
2026-10-22 07:36:19
2
Moni_Temu :
usharika wa kyuu home sweet home
2026-10-22 08:03:37
2
happy 💓💓🤦 munuo :
daaah kumependeza sanaaa jmn tuoneshe na shulee apo bhasii
2026-10-23 08:26:22
0
djf night wear, suits&Pochi :
Naomba nioneshe shule yangu ya kyuu upande wa pili🥰 alafu ukimaliza uende kanisa la Nkwansira
2026-10-22 09:00:43
2
official oka :
kyuu kijiweni kwa heshimaa💪💪
2026-10-21 15:50:28
4
To see more videos from user @hai_view, please go to the Tikwm
homepage.