@dr.michael049: Mtoto ni zawadi ya thamani, furaha ya familia na tumaini la maisha yajayo. ❤️🤱 Kupatikana kwa mtoto huleta upendo mpya, furaha isiyoelezeka na sababu nyingine ya kupambana kwa ajili ya maisha bora. 🥰 Kila mtoto ni baraka, kila ujauzito ni safari, na kila kuzaliwa ni muujiza wa maisha. 👶❤️