@auntypinnah_phones: Simu ipendeze, na hela ya matumizi ibaki jamani 😍📱 Hii ni AirTab yenye muonekano wa 18 Pro Max ✨ Kwa TSh 320,000 unaondoka na simu pamoja na: 🎁 Cover 🎁 Kinga ya lensi 🎁 Screen protector Usianze tena kutenga bajeti ya hivyo vitatu—vipo kwenye ofa 🤭🙌 💬 Tuandikie “AIRTAB” DM au WhatsApp tukuoneshe rangi zilizopo uchague inayokubamba! #AuntypinnahPhones #AirTab #SimuTanzania

Auntypinnah_phones
Auntypinnah_phones
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 21 October 2026 16:14:37 GMT
14419
217
13
25

Music

Download

Comments

phano.zt
phano zt :
azikai na chaji
2026-10-21 19:19:42
2
elijuiceflush1
ELI juice flush 🍹🧋🥤 :
tafuteni vii 🍎 vya bandiya mtu akibandika inaonekana ina epo nyuma
2026-10-21 18:40:21
0
octavian.mazige.o
Octavian mazige Otom_jr :
nipo mwanza
2026-10-21 17:56:47
0
ndikudegreat022
D360 :
hakuna simu umo msijichanganye
2026-10-21 18:48:52
0
jeremiahkelvin282
jay mill :
Sasa kwann waige
2026-10-21 20:00:44
0
veronicamsuya6
vee mziwanda :
cm zako 🙌 so what inayovyonifany sas hd sipo Whatsapp sin hamu na cm zako
2026-10-21 22:03:26
0
user5982816521483
Bin Salim :
unapatikana wapi
2026-10-21 18:17:34
0
blessedghrl
༺𝓫𝓵𝓮𝓼𝓼𝓮𝓭𝓰𝓱𝓾𝓻𝓵༻ :
Tutafute hela jamani kuna raha yake😂😂💔
2026-10-21 21:59:29
0
hebegoddes
Honey Sweet :
@Sussan leonard ❤️
2026-10-21 20:33:12
0
mrgold_tz
𝙈𝙧𝙂𝙤𝙡𝙙_𝙩𝙯 :
🌹♥️
2026-10-21 18:01:16
0
To see more videos from user @auntypinnah_phones, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About